Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Taasisi lazima iwe na kiongozi shupavu.Laa sivyo,inakuwa ni genge la panya wengi wanaopiga makelele bila kuchimba shimo hitajika/hawawajibiki kimiongozo na viwango bora.Urais ni Taasisi kwahio kama unaona / kuna uwezekano wa mtu kukaa na kuharibu basi fahamu kwamba tatizo sio mtu (sababu kama ni watu basi tunachofanya ni bahati nasibu) bali tatizo ni mifumo ambayo inatoa loophole ya yoyote anayekaa hapo kuweza kufanya anavyotaka na sio ambavyo kama taifa (walipa kodi) tumejipangia...
And on that token miaka nenda rudi tutakuwa ni wazee wa lawama kwa kila ajaye...
Basi nchi tutampa mumeo!!
Alimshika Mugabe, mawaziri, gavana wa fedha, na hazina yao.Yule kibaka Grace wangemchekea kidogo tu,Wazimbabwe wangekiona cha moto.
Wewe na JPM nani ana akili?!!! Basi Alimteua mara mbili kuwa mgombea mwenza.Unaona anaweza akawa anajua hata urais ni nini? Sidhani. Wanampa kazi kubwa sana ambayo ni juu ya uwezo wake. Endeleeni kumuombea angalau angalau awe na uelewa kidogo.
Sasa mtu ameshindwa kukidhi vigezo vya kusimamia watu 250 onboard, nyie mnampa aongoze watu zaid ya milion 60.. Mmetukosea sana.Uwezo mdogo
Magufuli alimteua mara moja tu. Ile awamu ya pili.Wewe na JPM nani ana akili?!!! Basi Alimteua mara mbili kuwa mgombea mwenza.
This is her fourth fuckin* year na hakuna mlichoweza kumkwamisha mbwa nyie licha ya kufanya Kila hila na Shari za aina zote zikiwemo za kidini na ukanda. Mtaendelea kushindwa sababu Mungu muweza wa yote yupo, tena yupo machoooooo!
Dah, sawa kamanda ngoja nielekee shamba Sasa kusafisha mikorosho.....si unajua tena msimu unakuja?!!! Ila kama hili litampeleka lissu ikulu basi karibu tukusikie.Magufuli alimteua mara moja tu. Ile awamu ya pili.
Kwa maelezo ya Magufuli alisema yeye alimteua Hussein Mwinyi Ila chama kukuambia hapana amteue Samia sababu walihitaji mwanamke kuweka usawa wa jinsia.
Ikabidi H.Mwinyi apewe ugombea uraisi Zanzibar.
Fuatilia kumbukumbu zako sawa.
Mimi siyo kamanda na Sina chama Wala upande. Nipo upande wa nchi yetu.Dah, sawa kamanda ngoja nielekee shamba Sasa kusafisha mikorosho.....si unajua tena msimu unakuja?!!! Ila kama hili litampeleka lissu ikulu basi karibu tukusikie.
Hizo figures ni za uongo, hata kama amefanya hiyo ni kazi yake, anayotakiwa afanye kwa kodi zetu. Hivyo ni vitu vidogo sana. Hata Bambo anaweza kufanya. Je amefanya jambo gani kubwa? Nchi hii kuna utekaji na hakuna haki za binadamu, watu wanatekwa, wanabakwa, wanalawitiwa na kuuawa, yeye kama mkuu wa majeshi amefanya nini? Watu wanatekwa na polisi, kwa nini hawawajibishi wahusika kama yeye siyo moja wao?Rais Samia amejenga madarasa mapya 61,000 na hii ndio sababu ya kumwomba kwa miaka mingine mitano.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani vyumba vya madarasa ya elimu ya msingi vilikuwa 128,425 mwaka 2020 hadi 2024 Vyumba vya madarasa vimefikia 155,330 sawa na tofauti ya vyumba vipya vya madarasa 26,905 .
Vyumba vya madarasa ya elimu ya sekondari vimeongezeka kutoka 46,928 mwaka 2020 hadi 81,052 mwaka 2024 sawa na tofauti ya madarasa 34,124, Jumla ya madara yote mapya ni 61,029 wakati jumla ya madarasa yote ya zamani ni 175,353 wakati jumla ya madara yote ni 236,382.
Madarasa mapya ni 35% ya madarasa yote yaliyokuwapo kabla ya uhuru,
Hii ndio Sababu ya kumuomba Rais Samia miaka mingine mitano.
Wewe na JPM nani ana akili?!!! Basi Alimteua mara mbili kuwa mgombea mwenza.
This is her fourth fuckin* year na hakuna mlichoweza kumkwamisha mbwa nyie licha ya kufanya Kila hila na Shari za aina zote zikiwemo za kidini na ukanda. Mtaendelea kushindwa sababu Mungu muweza wa yote yupo, tena yupo machoooooo!
Nitapanick vp kwa lishangazi kama wewe dada'angu?!!!! Mbona we ndo umepanick bibie mpaka wakati unaongea hilo tobo lako kubwa la nyuma limeshuhudiwa na wanaJF waliokuwa karibu nawe hapo likipwitapwita?!!!Umepaniki sana. Mbona unatokwa mapovu sehemu zako zooote za wazi? Kafir kafirua wewe. Kuna mengine hatusemi sababu ya kutunza heshima. Magufuli angeweza chagua udongo acha nazi kuwa makamu na ikawa. Na ccm inaweza weka hata mdoll kuwa rais ukawa. Na si jambo geni 🤣
Umepaniki sana. Mbona unatokwa mapovu sehemu zako zooote za wazi? Kafir kafirua wewe. Kuna mengine hatusemi sababu ya kutunza heshima. Magufuli angeweza chagua udongo acha nazi kuwa makamu na ikawa. Na ccm inaweza weka hata mdoll kuwa rais ukawa. Na si jambo geni 🤣Nitapanick vp kwa lishangazi kama wewe dada'angu?!!!! Mbona we ndo umepanick bibie mpaka wakati unaongea hilo tobo lako kubwa la nyuma limeshuhudiwa na wanaJF waliokuwa karibu nawe hapo likipwitapwita?!!!
duuhNitapanick vp kwa lishangazi kama wewe dada'angu?!!!! Mbona we ndo umepanick bibie mpaka wakati unaongea hilo tobo lako kubwa la nyuma limeshuhudiwa na wanaJF waliokuwa karibu nawe hapo likipwitapwita?!!!