Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Unaona anaweza akawa anajua hata urais ni nini? Sidhani. Wanampa kazi kubwa sana ambayo ni juu ya uwezo wake. Endeleeni kumuombea angalau angalau awe na uelewa kidogo.
1753078215080.jpeg
 
Unaona anaweza akawa anajua hata urais ni nini? Sidhani. Wanampa kazi kubwa sana ambayo ni juu ya uwezo wake. Endeleeni kumuombea angalau angalau awe na uelewa kidogo.
Naona kiongozi shupavu mwenye unyenyekevu mkubwa na master planner mkubwa
 
Urais ni Taasisi kwahio kama unaona / kuna uwezekano wa mtu kukaa na kuharibu basi fahamu kwamba tatizo sio mtu (sababu kama ni watu basi tunachofanya ni bahati nasibu) bali tatizo ni mifumo ambayo inatoa loophole ya yoyote anayekaa hapo kuweza kufanya anavyotaka na sio ambavyo kama taifa (walipa kodi) tumejipangia...

And on that token miaka nenda rudi tutakuwa ni wazee wa lawama kwa kila ajaye...
 
Back
Top Bottom