Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 671
- 1,027
Sio yeye lakiniUsisahau kuongezea kuwa kateka, kupoteza na kuua wapinzani
Sio yeye lakiniUsisahau kuongezea kuwa kateka, kupoteza na kuua wapinzani
Na sio yeye aliyejenga ICUs. Hatukumwona akibeba zege.Sio yeye lakini
Upupu huo. Umeandika ujinga, aidha hujui unachosema au umeamua kuwa chawa mkubwa. Huduma za afya bado hazijaimarika zipo kwenye level ya chini sana..Rais Samia amejenga 81% ya ICU zote zilizopo nchini.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani majengo ya ICU nchini Tanzania yalikuwa 14 tu, Miaka minne baadae zimefikia 73 tofauti ya ICU 59 sawa na 81%, Hii ni ishara ya Rais Samia kuwapenda na kuwajali zaidi Watanzania hii imepunguza vifo vya watu wote.
TANGU UHURU ICU 14 MIAKA MINNE ICU 59.
Levo ya chini ndio ipiUpupu huo. Umeandika ujinga, aidha hujui unachosema au umeamua kuwa chawa mkubwa. Huduma za afya bado hazijaimarika zipo kwenye level ya chini sana.
Rais Samia amejenga madarasa mapya 61,000
Wakati Rais Samia anaingia madarakani vyumba vya madarasa ya elimu ya msingi vilikuwa 128,425 mwaka 2020 hadi madarasa vimefikia 155,330 sawa na tofauti ya vyumba vipya vya madarasa 26,905 mwaka 2024 na vyumba vya madarasa ya elimu ya sekondari kutoka 46,928 mwaka 2020 hadi 81,052 mwaka 2024 sawa na tofauti ya madarasa 34,124, Jumla ya madara yote mapya ni 61,029 wakati jumla ya madarasa yote ya zamani ni 175,353 wakati jumla ya madara yote ni 236,382.
Madarasa mapya ni 35% ya madarasa yote yaliyokuwapo kabla ya uhuru,
Hii ndio Sababu ya kumuomba Rais Samia miaka mingine mitano.
TATIZO LIKO WAPI KAMA TUMEFANYA KWA UZURIMiaka 60 ya uhuru tunatoa sifa kwa madarasa na matundu ya vyoo
TATIZO LIKO WAPI KAMA TUMEFANYA KWA UZURI
Hebu jijibu mwenyewe tuone jibu lako2025 uzuri ni kujenga darasa? Uzuri ni kusifia mtu kajenga darasa?
It's like leo ujisifie kufunga dish la Azam 😄
ajenge dunia nzima, aifanye tanzania ahera, kama anafuta makanisa na hataki tumwabudu Mungu na anasema tunaosali kanisani tunaabudu ushetani, mimi simwoni kama ana faida kwangu. nasema toka moyoni kabisa. watu wamepigwa virungu, watu wana majeraha moyoni, yeye akiwa na ustaadhi mulilo wamezuia watu wasiabudu kwa kosa la mtu mmoja? hii sio haki.Rais Samia amejenga madarasa mapya 61,000
Wakati Rais Samia anaingia madarakani vyumba vya madarasa ya elimu ya msingi vilikuwa 128,425 mwaka 2020 hadi 2024 Vyumba vya madarasa vimefikia 155,330 sawa na tofauti ya vyumba vipya vya madarasa 26,905 .
Vyumba vya madarasa ya elimu ya sekondari vimeongezeka kutoka 46,928 mwaka 2020 hadi 81,052 mwaka 2024 sawa na tofauti ya madarasa 34,124, Jumla ya madara yote mapya ni 61,029 wakati jumla ya madarasa yote ya zamani ni 175,353 wakati jumla ya madara yote ni 236,382.
Madarasa mapya ni 35% ya madarasa yote yaliyokuwapo kabla ya uhuru,
Hii ndio Sababu ya kumuomba Rais Samia miaka mingine mitano.
mbona hawajejnga kipindi chote hicho?Hata wana kijiji wanaweza kujenga hayo madarasa
HII MNADHANI NANI MWINGINE WA UPINZANI ATAIWEZA?
Hebu jijibu mwenyewe tuone jibu lako