Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Dola 19 tilioni Kama reserve halafu exchange rate 2600. Na wewe unakubali? Punguani.
 
Baada ya Rais Samia kuingia madarakani akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa ya kuridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma nje ya nchi.

Hadi kufikia July 2025, kiwango cha akiba ya fedha za kigeni ilifikia $6.4bn sawa na TZS16.7Trilioni ikiwa ni pamoja na dhahabu tani 6.7 yenye thamani ya TZS2TRILIONI zinaifanya Reserve ya Tanzania kuwa na thamani ya TZS18.7 ~ TZS19TRILIONI.

Wakati kabla ya Rais Samia kulikuwa na akiba ya $4.8bn pekee sawa na TZS12Trilioni.
Chema chajiuza kibaya chajitembeza.
 
Tangu mwaka 2021 Rais Samia alipoingia madarakani akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa ya kuridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma nje ya nchi.

Hadi kufikia July 2025, kiwango cha akiba ya fedha za kigeni kilifikia $6.4bn sawa na TZS16.7Trilioni ikiwa ni pamoja na dhahabu tani 6.7 yenye thamani ya TZS2TRILIONI zinaifanya Reserve ya Tanzania kuwa na thamani ya TZS18.7 ~ TZS19TRILIONI.

Wakati mwaka 2020 kulikuwa na akiba ya $4.8bn pekee sawa na TZS12Trilioni.
Sasa madeni ya nini tena? Au hizo mlizokopa ndo mmeweka BoT?
 
Tangu mwaka 2021 Rais Samia alipoingia madarakani akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa ya kuridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma nje ya nchi.

Hadi kufikia July 2025, kiwango cha akiba ya fedha za kigeni kilifikia $6.4bn sawa na TZS16.7Trilioni ikiwa ni pamoja na dhahabu tani 6.7 yenye thamani ya TZS2TRILIONI zinaifanya Reserve ya Tanzania kuwa na thamani ya TZS18.7 ~ TZS19TRILIONI.

Wakati mwaka 2020 kulikuwa na akiba ya $4.8bn pekee sawa na TZS12Trilioni.
UZI HUU USICHANGIWE CHOCHOTE CHOCHOTE UACHWE KAMA ULIVYO WASOMAJI PITENI TU msichangie chochote.
 
Tangu mwaka 2021 Rais Samia alipoingia madarakani akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa ya kuridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma nje ya nchi.

Hadi kufikia July 2025, kiwango cha akiba ya fedha za kigeni kilifikia $6.4bn sawa na TZS16.7Trilioni ikiwa ni pamoja na dhahabu tani 6.7 yenye thamani ya TZS2TRILIONI zinaifanya Reserve ya Tanzania kuwa na thamani ya TZS18.7 ~ TZS19TRILIONI.

Wakati mwaka 2020 kulikuwa na akiba ya $4.8bn pekee sawa na TZS12Trilioni.
Pale mtu anapotaja hela nyingii alafu wewe hauna chochote... Inauma iyo.
 
Kwahiyo kuna Rais ambaye awamu yake hizo akiba zilizidiwa na mtangulizi wake?
Watumwa huwa wanalishwa ujinga,,,, hilo neno "REKODI" siku hizi linatumika kusambaza"PROPAGANDA" za kitoto..
Shughuli za serikali ni mambo ya kinyakati kwamba ni on-going process,,, na kila awamu haziwezi kulinganishwa kwasababu hata tarehe 17.03.2021 dollar 1 = 2326,, leo ni 2600..

Rekodi
peleka kwa wanariadha maana tokea Riadha ianzishwe they go through the same "shi.t" kilometers and meters every year around..
 
Kamilisheni SGR ya Makutupora to Isaka acheni porojo.
Huo mradi umesimama
 
Tangu mwaka 2021 Rais Samia alipoingia madarakani akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa ya kuridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma nje ya nchi.

Hadi kufikia July 2025, kiwango cha akiba ya fedha za kigeni kilifikia $6.4bn sawa na TZS16.7Trilioni ikiwa ni pamoja na dhahabu tani 6.7 yenye thamani ya TZS2TRILIONI zinaifanya Reserve ya Tanzania kuwa na thamani ya TZS18.7 ~ TZS19TRILIONI.

Wakati mwaka 2020 kulikuwa na akiba ya $4.8bn pekee sawa na TZS12Trilioni.
Of course, na amevunja rekodi kwa kuteka, kuua watu na kuzuia uhuru wa kuabudu. Haijawahi tokea.
 
Back
Top Bottom