BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Huwezi amini ila huo ndio ukweli, Katika muda wake wa utawala Samia ameruhusu kuagizwa Japani Magari V8 ya trilion 17 na million 300 na kuvunja record za Magufuri,Mkapa na Kikwete combined. Hizo ni V8 pekee ni nje ya nagari mengine haya ya kawaida.
Mwaka jana na Mwaka huu pekee zimeagizwa gari V8 za trilion 8 na million 600, Kwa mwaka huu wa 2025 mpaka sasa Serikali imeisha nunua V8 za trilion 6.5 na kuwa mwaka ambao V8 zimeagizwa nyingi sana.Fikiria ndani ya mwaka mmoja hata nusu haijafika tiyali V8 za trilio 6.5 zimeisha nunuliwa.
Nimenyetishwa na mtu wa jikoni kwamba Mama ni Mlevi wa haya magari ya V8 mtakumbuka alisha wahi zunguzmia hii swala la haya magari.
Trilion 11.7 mnao jiuliza mikopo inaenda wapi, huko ndiko inako elekea kwenye anasa. Sasa kutana na Wale wimu choka mbaya ambai utasikia wanamchangia Samia pesa za fomu,Wao wanaishi kwa mikopo then wanajichanga kumchukulia mtu ambaye anaishi levo za wakina Marie Antoneita wa King Luis.
Humu kuna wengine wanashinda wanasifia ilihali wenzao wanakula haswaa.
No reform no Election