The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Dooh hakika!!Bora akili kuliko fedha
Ivi Tanzania tuna TAKUKURU kweli auTume ya uchaguzi makini?Ila kuna watu walijiamini sana kabla ya wakati. Anyway lolote litokee tu wengine tupo pembeni kushuhudia yanayojiri.
View attachment 3413448View attachment 3413450
Mwaka huu kuna jambo litatokea, na kama vile linakaribia kutokea, damu imeshamwagika ya kutosha na kutisha sanaHawatoboi Hili Halitapita Bure
Ila kuna watu walijiamini sana kabla ya wakati. Anyway lolote litokee tu wengine tupo pembeni kushuhudia yanayojiri.
View attachment 3413448View attachment 3413450
Dua za kimasikini hizi.....Bora akili kuliko fedha
Acha mikwara wewe, mama Samia ndiye amiri jeshi mkuu sasa hivi, na ataongoza nchi kadri kwa style yake sio lazima amuige Magufuli, Magufuli ameshakufa.
Magufuli ali reverse vitu vingi vya Kikwete tu alivyoona havipo sawa, Mwinyi pia ali reverse vingi vya Nyerere ambavyo aliamini havipo sawa, Mkapa hivyo hivyo, Kikwete n.k
Ndio msimamo wa Tanzania wengi kwamba mama mitano tena.
We kweli malaria kweli! Hao watanzania wengi uliwaona wapi? We unajua Tanzania ina watu wangapi?Ndio msimamo wa Tanzania wengi kwamba mama mitano tena.
Du mbona watu mko kasi sana
Ndio msimamo wa Tanzania wengi kwamba mama mitano tena.
Huyo akili yake inawaza udini tu.We kweli malaria kweli! Hao watanzania wengi uliwaona wapi? We unajua Tanzania ina watu wangapi?
Ni watu wangapi kati ya hao walikwambia mitano tena kwa Mh mama Samia??
Ndio msimamo wa Tanzania wengi kwamba mama mitano tena.
Ndio msimamo wa Tanzania wengi kwamba mama mitano tena.
Muislamu awezi kuwa na akili ...kama yupo Muislamu mwenye akili nitajie nimuulize maswaliNdio msimamo wa Tanzania wengi kwamba mama mitano tena.