Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mpumbavu pekee ndio anayeweza kumuita asiye rais ni rais ni sawa na kusema
shetani ni mungu wakati anajua kabisa yeye sio ni upumbavu yeye sio.

Batili ni batili na ukweli ni ukweli. sasa angalia wakati unamuita batili ni halisi usije kuwa kati ya huyo mpumbavu anaye muita shetani ni mungu.
 
Acha kupiga ngumi ukuta utaumia mwenyewe. Rais ni Rais haijalishi kaingiaje madarakani. Iwe kwa mapinduzi au kwa wizi wa kura kama mnavyodai Rais ataendelea kuwa Rais.
 
Jamani msiwe mnampa mwenzenu sifa za kinafiki na kujipendekeza,mnamdanganya ,na yeye kwakuwa bichwa maji wala hashtuki, eti anaustahimilivu, ujasiri na ushupavu ptuuu!! Ptuuu! Ptu! Hizo sifa zina una viwango vyake vya kupimwa na kupata sifa hiyo, sio kwa kujifanya unajikausha yaani mkavu kabisa baada ya mauaji ya kutisha ya raia wako na kujifanya unaonesha ushupavu na ujasiri, acheni kumdanganya ndio kwanza anaonekana ana roho ya ajabu kabisa isiyo jali raia wake alio apa kuwalinda , ukatili na unyama .
 
Una akili za kimasikini sana mkuu
 
Kwa yaliyotokea ,yanayoendelea na yatakayoendelea ni kama kuna kisasi cha ndani kwa ndani wazanzibari walikuwa nacho ,sasa mzanzibari mwenzao kachukua nchi kimabavu wanalipa hicho kisasi.

Binafsi nimekaa na wazanzibar kuanzia huku uraiani mpaka vyuoni.

Wazanzibari ni watu wabinafsi sana, hawashirikiani na wabara kwa kitu chochote kile, wao ni wao tu tena ukiwa mkristo ndio kabisa wako mbali na wewe.

Ni watu fulani wa chuki sana, ni watu ambao wanaongoza kusemea mabaya Tanganyika.

Sasa awamu hii imekuwa ngekewa kwao, mwenzao kaja kutusambaratisha na kupeleka maendeleo huko kwao .

Nchi imekuwa mali ya familia ya samia na wazanzibari kiujumla.

Kwa kifupi tumekuwa kama koloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…