Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Aiseee watanzania lazima wafunge bar na waingie barabarani kwa furaha hata sijui nilitaka kusema nitamfaya nn.... Ila lazima tani sita ije juu
 
Binafsi Mimi ningemshauri Kama sio msomi yangu kuanzia tarehe 29 Oktober adi Leo kwanza ile siku maandamo hayakuepo mpaka saa nne na ile namm nilikua mtaani so kilichoendelea nilikiona tukianza na hoja ya waandamoji Kama mnavyowaita but wale walikuwa wanavurugu waliokua na Ambition zao binafsi waliokua hawajui wanataka na wafanye nini Michezo wadai watu kuuwawa ni kweli watu waliuwawa pili watu walifwatwa majumban kwao na kupigwa Risasi lakini katika hilo inaonesha kwa mtazamo WA macho wale

Askari hawakua na utambuzi WA kujua huyu ni mhandamaji au Raia WA kawaida na waandamoji wanavyodai walikua sio Raia WA Tanzania Pia Nilirudi kwenye serikali inasema watu walilipwa so Mimi kwa maoni ya naweza kukubbali Kuna watu walipewa pesa baadhi but katika kundi ilo wakaingizwa WA Tanzania hawakua wanufaika positively but Negative kwasababu ya Mobsychology na peer pressure but nimekua apa Tanzania

Na nimeshuhudia maandamo mengi ndani na nje Hao wanajiita Activists sikumuona ata mmoja wa ndani na nje ya nchi ambae alikua na waandamoji kwann kwamba Awadeserve KUANDAMANA au vp nimemuona mbowe mara kibao akikamatwa na police kwa kuongoza waandamaji na alikua antokea eneo la tukio kwann Hao wanajiita Representative wa GENZ hawakutokea hapo inanipa mashaka kua kwa Moja Amna nyingine Kuna upigaji na tunatumiwa kukidhi maslahi ya watu Binafsi kabla ya kuja kwenye maridhiano Mama anatakiwa kukubbali kwa yote yalitokea Oktober 29 na katika Maridhiano Mama Alitakiwa kuwaita Vijana na sio wazee kwa sababu Moja ya kutatua kupitia chanzo na Mwisho Tanzania hatujafikia muda kuimiri vita ata siku Moja ile siku nyanya iliuzwa 2k Nan mtanzania ataweza hayo maisha na maana Hali zetu sisi watanzania tunajuana Hali zetu.

MWISHO katika yale maandamo waongozaji hawakua watanzania kwa sababu Moja ilikua mara ya kwanza kutokea kilichotokea but Maji hayaachi asili maji asili yake ni kutulia Mtanzania ambae hajawahai kushuhudia mtu akifa mbele yake imetokea na Bado akawa mbele Risasi zinalia na Bado anasonga mbele watanzania walijumuhika but wengi ndowamepata maswahibu.Ningemaliza kwa kukuambia kua mama mwanzoni ulifanya kazi ambayo ata wapinzan waliikubali so naomba iwe ivo adi 2030 na hawaachie wote walichukuliwa na kuripotiwa na polisi kuwa wako nao.🙏
Huu mtihani! Mangumi na makarate
 
Nitamshauri kile ambacho wasaidizi wake wanaogopa kumwambia

To step down, before damage haijawa irrevesable
Awe makini na washauri wanampoteza
 
Mama Samia Watanzania hawakutaki kwasasa baada ya kupuuza na kuwadanganya , kuwateka, kuendeleza ufisadi, kupendelea ndugu na wanzanzibari, kutuma wauaji wa vijana na mengine mengi
 
Binafsi siuoni UBAYA WA raisi Samia, ila nauona UBAYA WA matendo ya OVYO yaliyoasisiwa na Jakaya, mwishowe Magufuli alivyotaka kupambana nayo wakamla kichwa
Leo hii ukosefu wa haki ulianza enzi za Jakaya yeye alikuwa Mzee wa kicheko kisicho Cha Haki kamwe.

Mama amerisi maujinga Sasa yanamnyima usingizi, amerithi ukumbatiaji WA majizi ambayo yalikuwa mengi
 
Nina kumbuka miaka ya 1990 mtabiri nyota Shekhe Yahaya Hayati Sasa aliwai tabili yakuwa Kuna uongozi UTAKUWA unaaongozwa na mwanamke na UTAKUWA mfupi na baada ya hapo nchi itatawaliwa na mwanamke nae atatawala Muda mfupi wapinzania watachukua nchi

Ebu mwambieni Samia kesho siku ya uhuru amsamehee Tundu ant Pasi Lissu hahahahaha
 
Hayo atajua yeye, sisi hayatuhusu tuna kazi maalumu na hawa form four failures
 
Binafsi siuoni UBAYA WA raisi Samia, ila nauona UBAYA WA matendo ya OVYO yaliyoasisiwa na Jakaya, mwishowe Magufuli alivyotaka kupambana nayo wakamla kichwa
Leo hii ukosefu wa haki ulianza enzi za Jakaya yeye alikuwa Mzee wa kicheko kisicho Cha Haki kamwe.

Mama amerisi maujinga Sasa yanamnyima usingizi, amerithi ukumbatiaji WA majizi ambayo yalikuwa mengi
Magufuli ndio muasisi wa huu ukatili. Acha kuchengesha maneno.
 
Kwa alivyo luku ya taifa, rais Samia ameweza kushinda 'uzushi na shutuma' vyote toka kwa mabeberu. Japo wametishia kumnyima misaada, nadhani ahitaji hiyo misaada yao. Marupurupu na mshahara na dili zake vinamtosha. Samia, ameweza kukaa kimya kama chura na kuacha watu wapige kelele huku yeye akiwacheka na kuwachora. Hii maana yake ni kwamba ni msikivu na mwenye busara. Kama lulu ya taifa, hata walipouawa waandamanaji na waleta fujo ambao hawakuwa raia wa Tanzania, hakuonyesha kujali wala kuyumba. Ameonyesha ushujaa na ujabari vya ajabu. Samia kama kiongozi, ameamua kupuuzia kila kitu na kuendelea kulinda mali za serikali hata kuliko watu waleta fujo.
Kama mama na mlevi, sorry mlezi wa taifa, amewashutumu wazazi kwa kushindwa kuwafundisha watoto wao uzalendo na mapenzi kwa nchi hasa mali za serikali. Huu ni ushahidi kuwa ni muwazi na hafichi kitu.
Kuonyesha alivyo mahiri na kingozi bora, nadhani ni yeye pekee duniani kwa wakati huu kuweza k kushinda kwa aslimia 98. Kama siyo huruma yake, wapinzani wasingepata hata kura moja kwa vile, kwa kupendwa kwake, walimchagua yeye.
Kwa yote hayo ya maajabu, kwanini Samia 'asipewe maua' yake?
 
Katiba mpya ni muhimu sana,katiba hii itapunguza Mamlaka ya rais kuteua wakuu wa wilaya,wakurugenzi wa halmashauri,wakuu wa mikoa,makatibu tawala mikoa na wilaya nk. Na hapo utakuwa mwisho wa uchawa Tanganyika.

Maana kwa sasa hata Mimi nikijitoa ufahamu nikamsifia Samia the Butcher kwa kuwauwa watanganyika napewa ukuu wa wilaya.

Siku zenu zinahesabika ninyi chawa,mungu awape uwezo wa kuyaona magumu yajayo
 
Kwa hapa tulipo fikia ni maswali gani ya msingi serikali inatakiwa kujiuliza, na ni maswali gani ya msingi wananchi wanatakiwa kujiuliza ????
 
Kwa maslahi mapana ya nchi yetu Tanzania. Ajiuzuru sasahivi. Tuwe na serikali ya mpito. Mengine yaendelee
 
Kama unamuita muuwaji heti mkuu sijui kiongozi, sijui kamanda, sijui jeshi jitafakari sana huwenda ukawa hauko sawa kiakili.

Mimi binafsi mtu kama huyo ni mpumbavu na hawezi kuwa kuniongoza wakati ni kipofu asiye na akili kwangu ni sisimizi na mdogo sana.
 
Back
Top Bottom