Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Sana mkuu😂😂😂
nDada wa taifa kwa sasa ana nguvu na sauti ya umma kuliko bibi Kilembwe yule malkia wa giningi, ambaye nguvu zake zimebaki kwenye vyombo vya dola pekee,
Dada kashamalizana na wadanganyika katoa ufafanuzi mzuri na watu wameuelewa sana, tafuteni propaganda nyingine hiyo ya udi imebuma na soon inaenda kufa kabisa