Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:

1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3. Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4. Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5. Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7. Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8. Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
Vp mkuu, Leo hii unajisikiaje baada ya kuandika comment ya kingese kama ww ulivyo mngese?
 
1760989537847.png
 
Wanasubiri tu akisha apishwa ni mbinu zitaanza kutumika kumtoa wakishidwa hata kwa njia za kiafya. Hawawezi kusubiri mpaka miaka mitano kujimilikisha nchi na rasilimali. Madaktari wa Ikulu na wote wanao mzunguka ni watu wa wana mtandao. Raisi wa Tanzania kwasasa sio Samia wala Kikwete ni Rostam Aziz ndiye Raisi wa siri wa nchi hii. Lissu kamsema leo anakesi, Polepole kamsema leo ...., Anahusishwa na mpaka kwenye kifo cha Mwendazake anasubiri Nchimbi aingine awe ameshika remote kisawa sawa
 
uko Wasapu sitatasi watu wanahamasishana jinsi ya kumuondoa mama abuduli.
Insitagiramu, pia kumewaka moto, mama abuduli anaandamwa kama kijumbe aliyekimbia na pesa za upatu.
Niwazi Mama abuduli amekataliwa duniani hadi kuzimu
 

Attachments

  • img_1_1760283522108.jpg
    img_1_1760283522108.jpg
    67.1 KB · Views: 23
uko Wasapu sitatasi watu wanahamasishana jinsi ya kumuondoa mama abuduli.
Insitagiramu, pia kumewaka moto, mama abuduli anaandamwa kama kijumbe aliyekimbia na pesa za upatu.
Niwazi Mama abuduli amekataliwa duniani hadi kuzimu
hongera kwa kufuzu makundi
 
Habari wa kuu.

Bora wakuogope wakikupenda watakuchukia.

Elewa kama ni mbwa usijaribu hata kuongea.

Unachokitaka hukipati na aliyekipata hakitumii.

#NIKIWAMKUBWANATAKANIWEKAMAMIMI

🇹🇿 nakupenda Nchi yangu TANZANIA.
 
Mungu atatupiga pigo moja kali sana hadi masikio ya kila mtu yawashe kama ambayo tayari tumekwishayasikia na kuyaona hayajatosha. Muda haujapata kusimama.

IMG_6702.jpeg


IMG_6703.jpeg
 
Tupo tunasherehekea ushindi wa kishindo maajabu wa Amani, Mshikamano, na Utulivu (AMT) alivyofanikisha Mtukufu, Mtume Mheshimiwa Rais, Daktari Profesa Al hajat, Ustaadha, Mtakatifu, Sheikha, Mpendwa, Anayependeza na kuvutia, Asiyekosea Mwenye Maono, Maoni, Akili sana, Busra na Hekima na vyote Samia Suluhu Hassan (SAW). 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom