Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Ukipewa nguvu kubwa kama ya Uraisi halafu ni mwoga na hujiamini damu nyingi sana itamwagika, wakuu wa vyombo vya usalama watatajirika, wapambe watakutushia na kulamisha uweke familia zao kwenye uongozi kama wakina kikwete. Kila mtu utamuona kama adui!. Huyu Mama alianza vizuri sijui jini gani limemuingia
 
Namuuliza Kwa unyenyekevu Yuko wapi Mzee KIBAO Mdude na yule dogo aliyechora picha yake?
 
Ni swala la kumkumbusha yeye na waTanzania kwa ujumla wasisahau ilikuwa kuwaje hadi akaamua mwenyewe kujipa jina hilo bila ya kushurutishwa na yeyote..

Sasa awaeleze waTanzania, huo ukiziwi wake uliinufaisha vipi Tanzania; na kama baada ya kunyang'anya miaka mingine mitano ukiziwi wake utaongezeka maa dufu!

Je, kuna ushahidi wowote ambao waTanzania wanaweza kuutambua kuwa ni faida iliyotokana na ukiziwi wa mtawala wao ambao umewanufaisha na kwamba miaka mitano mingine yenye ukiziwi mkubwa zaidi ya ule wa mwanzo utailetea nchi yao manufaa zaidi?

1. Tutegemee utekaji na uuaji wa waTanzania zaidi?

2. Mikataba ya kuuza raslimali za nchi yetu iwe ni ya siri zaidi; kama ile ya Gesi ya Ntorya ambayo wamepewa wajomba toka Oman? Huu mradi wa Lindi si ndio kitakuwa kiama chetu? Na yule mhindi wa Adani, alifika fikaje hapo bandarini?

3. Chura kiziwi huyo huyo ndie awe mwamuzi wa kesi mahakamani?

4. Bunge liwe ni la kuendeshwa na kutunga sheria anazotaka Chura Kiziwi?

5. WaTanzania wawe ni watwana tu wa kuwatumikia watu toka nje kwa jina la uwekezaji?

6. Miaka mitano tena, au zaidi, iwe ni ujenzi wa matabaka wa walionacho na wasiokuwa nacho ndani ya nchi yetu hii. Tunaona akina DULA na wengine, sijui akina Mombo, na akina Polisi wa mabilioni tayari tunao ndani ya miaka minne tu; je, itakuwaje ikiwa mika mitano, kumi au hata ishirini? (Museveni ni mfano mahsusi namna ya kudumu madarakani kwenye ukanda huu; bila shaka Chura Kiziwi kajifunza vya kutosha toka kwake).

Ukiziwi wa kujiamria mambo mazito yote mwenyewe, bila hata kusikia tu maoni ya wananchi (kelele) huu ndio uongozi?

Na mengi mengine ambayo yanajulikana kuwa ni matokeo ya kuwa na Chura kiziwi kama mtawala wetu.

Nchi hii na Chura Kiziwi, tutasalimika kweli?
 
Walisema mama hadaiwi ila kwenye kampeni zao mara Ajira, maji, umeme.

Unaona kabisa hapa hakuna watu makini.
 
Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:

1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa
3. Futa Mpango wa kujenga Daraja la Mwanza la ziwani
4. Ondo miradi ya Maendeleo ya maji chato
5. Ondoa makao makuu Dodoma, na turudi Dar
6. Futa strogiers gourge..tuendeleze gas na tuwape makampuni binadsi kuzalisha umeme ili tupate ajira zaidi
7. Futa SGR ili hera ziendele kwenye maendeleo ya watu na siyo ya vitu
8. Fut mambo ya EFD kwani yanasababisha biashara kusinyaa.
Duh
 
1759690183729.png

1759690158137.png

Ni hypothesis tu. Je yule aliyetengeneza Samia yaani John Pombe Magufuli kwa kutaka. kuwa na makamu wa rais asiyeweza kuwa tishio mbali na. maslahi mengine binafsi akifufuka anaweza kumuunga mkono nani kati ya Kapteni John Charles Tesha na Generali Samia Suluhu Hassan? Nawe unamuunga mkono nani?​

Matayarisho ya kumpokea yameanza.
Rais ana kesi ya kujibu?
Anafanya Kampeni bila upinzani.
Kesi ya Tundu Lissu inaanza rasmi kesho.
What is going on is far from clear.
Sasa Captain Tesha alikuwa anasoma written statement. Iliandikwa na na
Ikigundulika imeandikwa na Chadema,basi,we are going to back at square one.
Kesi ya Tundu Lissu ikiisha mapema, Chadema wanaweza kurudi kwenye Uchaguzi?
Chadema wakipewa wiki mbili kufanya Kampeni, watakubali?
Hapo,kama Lissu angeachiwa aendelee na kesi,John Heche awe mgombea urais.
Tayari mvuta bangi tumemsikia anataka serikali ipinduliwa.
Amesaidia Mahakama kufahamu uhaini inafanana vipi.
Lakini notwithstanding this incident,Mahakama inataka iendelee na hair - splitting arguments.
Dhamira ya serikali inakuwa more and more clear with every passing day; kwamba hawaoni kama lipo tatizo lolote; kwamba Uchaguzi wa Chama kimoja.
Sisi tunaitwa watoto wa Baba wa Taifa. Serikali ilifanya ufisadi,ilifanya ukatili,tutaitwa watoto wa Mhuni Fulani.
 
Iko hivyo.

Haijalishi, hakuna, na sioni.

Samia ni Rais 2025.

Tulia, Mama.
 
nyooko we
 
Hakika inabidi tu mtu kucheka; huyu bibi mbona kama anajifia kirahisi sana? How can a president be so incompetent & inept?? Haoni hali ilivyo??? Dah😂😂

Hata katika ofisi tu au duka binafsi, ukianza kukataliwa na wafanyakazi wako au watumishi walio chini yako you can hardly survive, sasa sembuse Urais? Anajiaminisha nini tena kutenda dhulma katika nchi ambayo zaidi ya watu mil.60 siyo wa jamii yako??

Kweli tukishangaa ya Musa tutayaona ya firauni.

Wacha inyeshe tujue panapovuja.

Ila ukweli ni kwamba huyu bibi hana miezi 6 mbele kama kocha wa Yanga.
 
Back
Top Bottom