Mama yetu mpendwa, Rais Samia Suluhu Hassan,
Tunatoa shukrani kwa uwekezaji mkubwa katika elimu.
Kupitia mradi wa SEQUIP, maabara za kisasa zimejengwa
katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyopo Kata ya Udinde, Halmashauri ya Wilaya ya Songwe.
Maabara hizi zimekuwa nguzo ya maendeleo ya elimu ya sayansi,
zikitoa fursa kwa wanafunzi kujifunza kwa vitendo,
na kuongeza ufaulu pamoja na ubunifu kwa kizazi cha leo na kesho.
Mama, tunakushukuru kwa kuona mbali,
kwa kuwekeza katika ndoto za vijana wetu,
na kwa kutuonyesha kwamba elimu bora ni msingi wa taifa imara.
#KurayakwanzakwaSamia
#Haijapatakutokea