Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Nguvu na juhudi za Rais Samia mwaka 2024 vilikuwa idadi yake havizidi vitatu Hadi kufikia 9
Hongera sana selikari ya Samia
 
Mama yetu Samia, umetufanyia mambo makubwa yasiyo na mfano. Wazee wetu wanapata huduma bure, watoto wetu wanalindwa, na wajawazito wanahudumiwa kwa upendo na matibabu bila gharama. Hakika umetuthibitishia kuwa wewe ni kiongozi mwenye moyo wa mama na roho ya upendo kwa taifa letu. Tunakuombea ushindi mkubwa katika uchaguzi, ili uendelee kuwatumikia Watanzania kwa hekima na busara. Mungu akubariki na akulinde siku zote
 
RAIS SAMIA AMEWASHA UMEME VIJIJI VYOTE ARUSHA

📌Vitongoji 936 vimefikiwa na huduma ya umeme Arusha

📌REA yaahidi kufikisha umeme kwa wakati ili kukuza uchumi wa wananchi

📍Arusha

Imeelezwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), amewezesha kuwasha umeme vijiji vyote 368 sawa na asilimia 100 na sasa utekelezaji unaendelea kwa kasi ya kupeleka huduma ya umeme kwenye vitongoji vyote ambavyo havijafikiwa na huduma hiyo jijini Arusha.

Hayo yamebaibishwa leo Agosti 28, 2025 na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, wakati wa ziara ya kutembelea utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini, sambamba na kuzungumza na Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya REA ambapo ameweza kushuhudia wananchi wakiunganishiwa huduma ya umeme Wilaya ya Arumeru, Kitongoji cha Kisongo Juu jijini humo.

Ameongeza kuwa, mradi wa kupeleka umeme kwenye vitongoji unaendelea vizuri ambapo vitongoji 936 kati ya vitongoji 1,505 hadi sasa tayari vimeunganishwa na nishati ya umeme na kazi hiyo inaendelea kwa kasi ili kumaliza kwa wakati na wananchi waweze kunufaika na uwepo wa nishati ya umeme katika maeneo yao.

"Tumshukuru sana Mhe. Rais Samia kwa namna mbavyo anaendelea kuwezesha sisi REA kuweza kutekeleza miradi ya kupeleka umeme kwenye vitongoji kwa kasi kubwa kama mnavyoiona katika mkoa huu wa Arusha na wananchi wengi wanaendelea kuunganishiwa umeme, " Amesema Mhe. Balozi Kingu.

Vilevile, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali katika mkoa huu inayolenga kuwapatia huduma za uhakika za nishati ili kuboresha huduma za kijamii na kiuchumi katika maeneo yote ya vijijini.

Katika hatua nyingine, Mhe. Balozi Kingu amehaidi kuwa, REA itaendelea kuwafikishia huduma ya umeme wananchi kwenye vitongoji na maeneo ya pembezoni ya miji ili kuwawezesha kuwa na umeme wa uhakika katika maeneo hayo na kuwezesha kukuza uchumi.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kisongo Juu Adam William, amesema mradi huo wa umeme katika eneo hilo ni fursa kwao kuweza kufanya shughuli mbalimbali za kiuchumi ikiwemo kusaga mahindi na mpunga kwa kutumia mashine ya umeme, kuchaji simu na fursa nyingine za kiuchumi zinazotokana na uwepo wa nishati ya umeme.

Mwisho.
 

Attachments

  • IMG-20250828-WA0070.jpg
    IMG-20250828-WA0070.jpg
    983.8 KB · Views: 24
  • IMG-20250828-WA0072.jpg
    IMG-20250828-WA0072.jpg
    1 MB · Views: 26
  • IMG-20250828-WA0071.jpg
    IMG-20250828-WA0071.jpg
    1 MB · Views: 24
  • IMG-20250828-WA0075.jpg
    IMG-20250828-WA0075.jpg
    1 MB · Views: 30
  • IMG-20250828-WA0076.jpg
    IMG-20250828-WA0076.jpg
    919.6 KB · Views: 26
wameweza kufaidika na mradi huu mama umetekeleza na pia bila kusaha mama umefanya ongezeko la ufaulu kwa asilimia 37% katika mkoa huo. Haya ni baadhi tu kati ya yale mengi aliyofanya Mhe.Raisi


#haijapatakutokea #kurayakwanzakwasamia @ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan @ccmtanzania
IMG-20250901-WA0151.jpg
 
MAFANIKIO YALIOPATIKANA KATIKA SEKTA YA ELIMU KWENYE SERIKALI YA AWAMU YA SITA CHINI YA UONGOZI WA RAIS MHE DKT SAMIA SULUHU HASSAN - (DODOMA)
1️⃣ Miundombinu:
Shule mpya za msingi 302, sekondari 2,254, vyumba vya madarasa 4,043, maabara 132, makazi ya walimu 253, vyoo 20,901, na dormitories 109 zimejengwa kitaifa; Dodoma imenufaika pia, ikiwemo Shule ya Model Iyumbu (wanafunzi 1,000).

2️⃣ Elimu Bure:
Tangu 2022/23 elimu ni bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha sita, ikiondoa vizuizi vya kifedha.

3️⃣ Elimu ya Lazima:
Sera mpya (2023) imepanua elimu ya lazima hadi Kidato cha Nne, ikiongeza pia mafunzo ya vitendo na lugha za kigeni.

4️⃣ Matokeo ya Mitihani (Dodoma):
Darasa la Nne 2024: 94.6% (nafasi ya 3 kitaifa).
Darasa la Saba 2024: 87.89% (nafasi ya 4 kitaifa).
Sekondari: Division I–III imeongezeka kutoka 30% (2023) → 30.7% (2024).

5️⃣ Programu ya Shule Bora:
Tangu 2021, walimu wa Kiswahili na Hisabati wamepatiwa mafunzo; Dodoma ni miongoni mwa mikoa 9 kunufaika.

6️⃣ Uwekezaji wa Fedha:
Zaidi ya Tsh 1.29 trilioni zimetumika kwa miundombinu ya shule: madarasa 9,189 ya msingi, sekondari 21,990, pamoja na makazi ya walimu, dormitories na maabara.

7️⃣ Walimu:
Malipo ya stahiki yameboreshwa, magari kwa maafisa elimu yameongezwa, ICT imeimarishwa, na mpango wa mafunzo ya walimu (NF-TCPD) umeanzishwa.
Rais Samia ameahidi kupitia upya mafao ya walimu na kuwatambua kama “Mothers of All Professions.”

8️⃣ Usajili wa Wanafunzi:
Programu ya elimu bure imeongeza usajili na kupunguza wanaoacha masomo; Dodoma imefaidika moja kwa moja.

9️⃣ Elimu Jumuishi:
Sera mpya ya elimu (2023) na mtaala mpya (2024) unaweka msisitizo kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum, ujuzi wa vitendo, na mtaala unaoendana na soko la ajira.

Kwa miaka 4, elimu Dodoma imeimarishwa kwa miundombinu, matokeo bora, walimu kuthaminiwa, na wanafunzi kupata nafasi sawa ya kujifunza.


#haijapatakutokea
#kurayakwanzakwasamia
#ikulu_mawasiliano
#samia_suluhu_hassan
#ccmtanzania
 

Attachments

  • 657A89C8-C4D7-4C36-B484-0E134FD1B67C.jpeg
    657A89C8-C4D7-4C36-B484-0E134FD1B67C.jpeg
    266.4 KB · Views: 23
Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu, ikiwemo kuimarisha miundombinu ya shule na utekelezaji wa elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Hatua hii inalenga kuhakikisha kila mtoto ana fursa sawa ya kupata elimu bora bila kizuizi cha gharama. Mkoani Dodoma, takriban 24% ya shule zilizojengwa tangu uhuru zimetokea katika kipindi hiki, ikithibitisha uwekezaji mkubwa wa Serikali. Mpango wa elimu bure na kuimarisha mazingira ya kujifunzia umesaidia kuongeza ufaulu wa wanafunzi katika mitihani ya kitaifa. Ongezeko la ufaulu katika darasa la saba, kidato cha nne na cha sita linaonyesha manufaa ya sera hizi, huku walimu, wanafunzi na jamii wakishirikiana kuinua kiwango cha elimu mkoa mzima.

#Haijapatakutokea
#Kurayakwanzakwasamia
 

Attachments

  • IMG-20250901-WA0027.jpg
    IMG-20250901-WA0027.jpg
    143.5 KB · Views: 23
Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu, ikiwemo kuimarisha miundombinu ya shule na utekelezaji wa elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Hatua hii inalenga kuhakikisha kila mtoto ana fursa sawa ya kupata elimu bora bila kizuizi cha gharama. Mkoani Dodoma, takriban 24% ya shule zilizojengwa tangu uhuru zimetokea katika kipindi hiki, ikithibitisha uwekezaji mkubwa wa Serikali. Mpango wa elimu bure na kuimarisha mazingira ya kujifunzia umesaidia kuongeza ufaulu wa wanafunzi katika mitihani ya kitaifa. Ongezeko la ufaulu katika darasa la saba, kidato cha nne na cha sita linaonyesha manufaa ya sera hizi, huku walimu, wanafunzi na jamii wakishirikiana kuinua kiwango cha elimu mkoa mzima

#Haijapatakutokea
#Kurayakwanzakwasamia
 
Serikali chini ya Mhe. Rais Dr. Samia Suluu Hassani imefanya maboresho ya miundombinu ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambapo hadi sasa kiasi cha shilingi Bilioni 104.5 zimetumika kuboresha shule ya sekondari Kongwe kwapakacha katika mwaka wa fedha wa 2023/2024 katika Ujenzi wa madarasa 3 na mengine mawili kuyamalizia pia kujenga matundu nane 8 ya vyoo
IMG-20250901-WA0608.jpg
 
KATIKA SEKTA YA ELIMU ,Dkt Samia Suluhu Hasan. Samia anajenga vyuo vikuu zaidi ya 10 vipya kwa mpigo mikoani, haijapata kutokea.

1. Katavi (Kilimo) kimefikia 15%
2. Kigoma (Afya) Kimefikia 10%
3. Zanzibar (Mambo ya Bahari) kimefikia 50%
4. Kagera Kimefikia 50%
5. Lindi Kimefikia 50%
6. Mwanza (Ardhi) Kimefikia 10%
7. Rukwa Kimefikia 10%
8. Shinyanga Kimefikia 46%
9. Tabora Kimefikia 10%
10. Tanga Kimefikia 45% haijapatakutokea. #kurayakwanzakwasamia. #haijapatakutokea. #kurayakwanzakwasamia. #haijapatakutokea. #kurayakwanzakwasamia.#haijapatakutokea. #kurayakwanzakwasamia
 

Attachments

  • VID-20250901-WA0036.mp4
    1.5 MB
Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan (2020–2024) katika Kuimarisha Miundombinu ya Elimu

✅️Shule za msingi: 16,656 → 19,783.

✅️Shule za sekondari: 5,001 → 5,926.

✅️Madarasa ya msingi: 128,425 → 155,330.

✅️Madarasa ya sekondari: 46,928 → 81,052.

✅️Nyumba za walimu sekondari: 14,274 → 15,495.

✅️Nyumba za walimu msingi: 44,3haijapatakutokea. #kurayakwanzakwasamia. #haijapatakutokea. #kurayakwanzakwasamia. #haijapatakutokea. #kurayakwanzakwasamia.#haijapatakutokea. #kurayakwanzakwasamia63 → 44,934.
 

Attachments

  • VID-20250901-WA0042.mp4
    8.7 MB

Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan (2020–2024) katika Kuimarisha Miundombinu ya Elimu

✅️Shule za msingi: 16,656 → 19,783.

✅️Shule za sekondari: 5,001 → 5,926.

✅️Madarasa ya msingi: 128,425 → 155,330.

✅️Madarasa ya sekondari: 46,928 → 81,052.

✅️Nyumba za walimu sekondari: 14,274 → 15,495.

✅️Nyumba za walimu msingi: 44,363 → 44,934.
.
.
#haijapatakutokea
#kurayakwanzakwasamia
 
Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan (2020–2024) katika Kuimarisha Miundombinu ya Elimu:

📍Shule za msingi: 16,656 → 19,783.
📍Shule za sekondari: 5,001 → 5,926.
📍Madarasa ya msingi: 128,425 → 155,330.
📍Madarasa ya sekondari: 46,928 → 81,052.
📍Nyumba za walimu sekondari: 14,274 → 15,495.
📍Nyumba za walimu msingi: 44,363 → 44,934.
Maendeleo yote haya yamefanywa na serikali ya dk.Samia kwa kulenga kuongeza ufaulu wa wanafunzi ndani ya jamii📊.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
 

Attachments

  • lv_0_20250901213459.mp4
    30.5 MB
Rais Samia ameongeza bajeti ya elimu na mafunzo kutoka TZS4.72Trilioni mwaka 2020/21 hadi TZS6.16Trilioni mwaka 2024/25 sawa na ongezeko la TZS1.45Trilioni.

Bajeti ya Elimu na Mafunzo ndio bajeti kubwa kuliko zote ikifuatiwa na bajeti ya Wizara ya Afya na huku Nishati na Kilimo zikifuatia, Ukubwa wa bajeti hii umesaidia kukuza na kuimarisha miundombinu ya Elimu, kuboresha mazingira ya kujifunza na kufundishia.

Ongezeko hili limechangia katika kuongeza vyumba vya madarasa ya elimu msingi imeongezeka kutoka 128,425 mwaka 2020 hadi madarasa 155,330 mwaka 2024 na madarasa ya elimu ya sekondari kutoka 46,928 mwaka 2020 hadi 81,052 mwaka 2024.

Kuongezeka kwa miundombinu hiyo kumechangia ongezeko la wanafunzi kutoka 14,940,925 mwaka 2020 hadi 16,155,281 mwaka 2024
.
#haijapakutokea
#kurayakwanzakwaSamia
 
Rais Samia ameongeza bajeti ya elimu na mafunzo kutoka TZS4.72Trilioni mwaka 2020/21 hadi TZS6.16Trilioni mwaka 2024/25 sawa na ongezeko la TZS1.45Trilioni.

Bajeti ya Elimu na Mafunzo ndio bajeti kubwa kuliko zote ikifuatiwa na bajeti ya Wizara ya Afya na huku Nishati na Kilimo zikifuatia, Ukubwa wa bajeti hii umesaidia kukuza na kuimarisha miundombinu ya Elimu, kuboresha mazingira ya kujifunza na kufundishia.

Ongezeko hili limechangia katika kuongeza vyumba vya madarasa ya elimu msingi imeongezeka kutoka 128,425 mwaka 2020 hadi madarasa 155,330 mwaka 2024 na madarasa ya elimu ya sekondari kutoka 46,928 mwaka 2020 hadi 81,052 mwaka 2024.

Kuongezeka kwa miundombinu hiyo kumechangia ongezeko la wanafunzi kutoka 14,940,925 mwaka 2020 hadi 16,155,281 mwaka 2024
.
#haijapakutokea
#kurayakwanzakwaSamia
Chawa wa Mama, jifunzeni kudadavua takwimu. Hizo numbers bila benchmarks ni meaningless!
 
Back
Top Bottom