Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kwa kuongezea tu kwa asiyejua iyo idadi imejumuisha na Wanachama wa CCM maana na wao ni mifugo ni ng'ombe kama ng'ombe wengine
 
Na.Aina ya MifugoAina NdogoIdadi (Tanzania)
1Ng’ombeAsili36,494,479
Maziwa2,746,896
2MbuziAsili28,592,597
3KondooAsili9,658,880
4NguruweCross breed4,131,962
5KukuAsili49,705,321
Kisasa58,415,764
Jumla——189,745,899
View attachment 3442034
Chini ya Rais Samia, idadi ya mifugo imeongezeka kutoka 157,882,852 mwaka 2020 hadi 189,845,899 mwaka 2024/25, tofauti ya takriban 31,963,047 sawa na ongezeko la 20% tukiiacha mbali Ethiopia iliyoripoti mifugo milioni 70 mwaka 2022,. Ukuaji huu, unaochochewa na mbegu bora, teknolojia za kisasa na lishe bora, umeongeza uzalishaji wa nyama na maziwa, tija, usalama wa chakula na kipato cha wakulima, huku ukiongeza thamani ya uchumi wa taifa, Hata hivyo Sasa tunasubiri tangazo la FAO kuitambua Tanzania kama kinara wa mifugo barani Africa.
View attachment 3442036
Ni lini hiyo sensa ya mifugo imefanyika. Acheni utapeli
 
1755248422562.png


Chini ya Rais Samia, sekta ya viwanda vya kusindika maziwa imeendelea kuchangia katika uzalishaji wa maziwa, viwanda vya kusindika maziwa vimeongezeka hadi 99 vilivyopo nchini vyenye uwezo wa kusindika lita 865,600 kwa siku, huku kiasi kilichosindikwa kwa sasa kimefikia lita 203,600 kwa siku sawa na asilimia 23.5 tu ya uwezo wake
 
Aisee kumbe Samia ni mfugaji pia!

Nimepitwa na mengi.

Basi chini ya Samia ndio maana uzao wa kunguni na chawa umeongezeka kwa wingi tunahitaji mtu wa kufanya mass fumigation.
 
💬 Kama ungepewa nafasi ya kumshauri, ungeandika nini kuhusu maendeleo, ajira, elimu, afya, vijana, au maadili ya Taifa letu?

✍️ Tuchangie mawazo yenye kujenga — si lazima kukosoa kwa hasira, bali kwa hekima, uzalendo na upendo kwa nchi yetu.

👇 Tuandikie kwenye comment au reply ujumbe wako.
Tanzania ni yetu sote — sauti yako ni muhimu! 🇹🇿
#UjumbeKwaRais
#TunajengaTanzaniaPamoja
#MaendeleoNaMaadili
 
Back
Top Bottom