Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
Samia amefanikisha akina mama kupata ujauzito na kujifungua salama.View attachment 3441723
Chini ya Rais Samia, mifugo aina ya ng’ombe imeongezeka kutoka 33,928,391 mwaka 2020 hadi 39,241,375 mwaka 2025, sawa na ongezeko la ng’ombe 5,312,984 ambao ni asilimia 16,
Hii ni kutokana na sera za uboreshaji wa mbegu, huduma bora za mifugo ikiwemo chanjo za ruzuku, na upatikanaji wa malisho bora na ya uhakika, hatua iliyoongeza tija, kipato cha wafugaji na usalama wa nyama na chakula nchini.
Samia amefanikisha ongezeko la Oksijeni nchini
Samia amefanikisha DENI LA TAIFA kukua kwa kasi kubwa.
Samia ni mwamba, amefanikisha kudhibiti wakosoaji wake kwa kiwango kikubwa