Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Tupo tunasherehekea ushindi wa kishindo maajabu wa Amani, Mshikamano, na Utulivu (AMT) alivyofanikisha Mtukufu, Mtume Mheshimiwa Rais, Daktari Profesa Al hajat, Ustaadha, Mtakatifu, Sheikha, Mpendwa, Anayependeza na kuvutia, Asiyekosea Mwenye Maono, Maoni, Akili sana, Busra na Hekima na vyote Samia Suluhu Hassan (SAW). 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
1762890866441.png

Ewe Samuya Sulubu
Ninaleta masahibu
Nchi umeiharibu
Je waijua sababu?

Dhuluma ndilo jibu
Ndo inotusulubu
Japo wajifanya bubu,
Gen Z watajaribu.

Naomba nikushauri
Mama uache jeuri
Mjanja hana kiburi
Hebu fikiri vizuri.

Umeua sifa nzuri
Sababu ni ujeuri
Mwisho wako si mzuri
Elewa ole na heri.

Umeua watu wetu
Umeuza nchi yetu
Waitesa nchi yetu
Hiki ni kilio chetu.

Wachafua nchi yetu
Toka katika nchi yetu
Wewe siyo mtu kitu
Waibia nchi yetu.

Wewe si rais wetu
Umeiba kura zetu
Wadharau watu wetu
Wala wewe si mwenzetu.

Waitwa Ida Amina
Hii ni aibu sana
Ni Idi Amina mama
Umeishiwa maana.

Urais wako damu
Ni madaraka ya damu
Kila kitu ni haramu
Hata ushike patamu.

Watupeleka kuzimu
Na hili ulifahamu
Umejitoa fahamu
Kwa kunogewa utamu.

Sasa ninasema toka
Sisi tumeshakuchoka
Hebu ondoka haraka
Mwenzetu ushachafuka.

Siasazo ni za taka
Nani aipende taka?
Chochote unachotaka,
Utapata usichotaka.

Epuka huo uchoyo
Kutenda mambo ya hovyo
Japo wajitia moyo
Unacheza na koyoyo.

Nasema samuya toka
Tena ondoka haraka
Hakuna anokutaka
Utokomee haraka.
Hebu nenda mwana kwenda
Hakuna anokutaka
Umchafu kama taka
Roho mbaya kama paka!
 
Attachments

  • 1762890449471.png
    1762890449471.png
    45.1 KB · Views: 27
Aisee leo nimesikiliza kwa umakini mkubwa sana wa Raisi Samia hakika ni Mungu ametupa na amejirekebisha saana Nampenda sana maana meongea vitu vya msingi sana like wizard ya vijana mpya na amekri kuumia na kuachia wafungwa wrote what a president kuanzia leo Mimi ni chawa wa mama
 
Holy Roman Empire ni utawala wa Kijerumani uliotawala maeneno ya Ulaya kwa upanga.

1763620367316.png

Nchi zilizounda utawala huo wa ki mafia ni:
Germany, Austria, the Czech Republic, Switzerland, the Netherlands, Belgium, Luxembourg, Liechtenstein, and parts of Italy, France, and Poland.

Ambition za watu hawa ilikuwa kuitawala dunia. Vita vya kwanza vya dunia ndio wao walioanzisha. Vita vya pili vya dunia ndio wao walioanzisha.

Huko Congo DR alikuwepo Belgium, mpaka leo wanaivuruga sana DRC.
Hapa Tanzania wapo ma agents wao, Sio wafuasi wote wa kanisa au maaskofu wote bali ni wachache.
Kumbuka kuna watu walikimbilia ubeligiji hao watu wala si kwamba wanawapenda sana the real want the Colony back to them.

Amkeni acheni, mambo ya ajabu. Hao jamaa are not Christian all. Wapo kwaajili ya ajenda yao tu.

Waliingia Tanzania na kukaa huko Peramiho, Ruvuma, waliitwa Brothers wakaanzisha kanisa, walipanga mipango kwa umakini mkubwa sana. Walichinja, waliua wali intimideti.

Nashangaa mpaka leo bado kuna waafrika wanawasapoti.

Mbinu zao tayari Mama Shupavu alikuwa hatua 100 mbele zao.

Hatua yao ya kwanza ilikuwa ni kuhakikisha wanamuingiza Mwambukusi kuwa Rais wa TLS
Hatua ya pili ilikuwa ni kuhakikisha wanaiangusha CHADEMA, na walifanikiwa.

Hii ilikuwa hatua yao ya mwisho na wanaichukua nchi. Hao mnaowaona wanaandika waraka wa kutisha are just Pawns in a chess board, wanatumika tu.

Fikiria kwa makini.

1763621193199.png
 
Holy Roman Empire ni utawala wa Kijerumani uliotawala maeneno ya Ulaya kwa upanga.

View attachment 3504632

View attachment 3504639
Utahira ni kipaji
 
Dada wa taifa kwa sasa ana nguvu na sauti ya umma kuliko bibi Kilembwe yule malkia wa giningi, ambaye nguvu zake zimebaki kwenye vyombo vya dola pekee,
Dada kashamalizana na wadanganyika katoa ufafanuzi mzuri na watu wameuelewa sana, tafuteni propaganda nyingine hiyo ya udi imebuma na soon inaenda kufa kabisa
 
Back
Top Bottom