Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Sijaelewa..Mambo magumu
Au ni hizi beer
Sijaelewa..Mambo magumu
Mlete mama yako mzazi uone.Wanaume kutwa nzima unamsema mwanamke huo ni umama
Anakujaga mbona hapo kweny kikoba chenuMlete mama yako mzazi uone.
Kuna nini kwaniiii?
Mlete mama yako mzazi uoneAnakujaga mbona hapo kweny kikoba chenu
Mlete mama yako mzazi uone
Kushaenda kikoba kwani we bado hujafika?Mlete mama yako mzazi uone
Siwezi kukutana na muuwaji mimi akatafute wauwaji wenzake huko wakutane wapeane mikono mimi nitakutana na watu timamu na wazalendo kweli kweli.Hivi siku ukikutana nae akakupa mkono utampa mkono au utautemea mate kwanza mkono wako kisha ndio utampa mkono?
Tufanye umekutana nae kwa mfano utampa mkono akikupa mkono au utautemea mate mkono?Siwezi kukutana na muuwaji mimi akatafute wauwaji wenzake huko wakutane wapeane mikono mimi nitakutana na watu timamu na wazalendo kweli kweli.
karibu pia.Kichwa cha habari kiko wazi. Nakaribisha wote. Waje na sababu za maoni na misimamo yao tuelimishane, kujuzana, na tunufaishane kiakili ili tuelewekeke na kujikomboa. Hii, itakuwa ni onyo na somo kwa mlengwa na watu wake. Pia, ni fursa ya kujitathmini, kujirekebisha mbali na kujua ukweli hata uwe mchungu vipi.
Nawasilisha.
Karibuni nyote na wote.
Hakuna watu wa kuendelea kuua tena. Yeye asuburi kuja kujibu mauaji alivyofanya. Hata afanye nini hakwepi mkono wa sheria. Huko Russia aliona makubwa kuliko aliyooana alipokwenda US?GTs,
Baada ya safari ya Urusi, hakika niliyoyashuhudia huko, basi Dkt Samia aendelee kubakia kwenye kiti cha Urais mpaka 2040. Cha muhimu tuanze mchakato wa kubadili katiba ya chama na ya nchi ili Dkt wetu, Rais wetu mwenye akili, uweza na uzalendo aendelee kuwa Rais wetu mpaka 2040