Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Uyo mtaalamu wa siasa apo jumba jeupe hafai yawezekana mzee sana au elimu na uelewa wake wa kisiasa ni mdogo sana pia hawezi kunyumbulika kutokana na mazingira,haiwezekani uyo mtu atoe ushauli mbaya kiasi ichi kwa kipindi ichi ambacho kunaitajika uponyaji yeye anashauli mgonjwa akae juani
Umekosa kazi za kufanya bila shaka. Mtu mpaka anafikia hatua ya kujitambulisha hadharani kama Chura Kiziwi (yaani kiumbe kisichosikia chochote kwenye mwili wake! Kuanzia maumivu, ushauri, hisia, nk) halafu unaongea nini?
 
Kwamba kosa n la mshauri?
Sasa mtu mpaka anakuwa rais n kwamba hana akili ya kujiongoza mpaka ashauriwe kwenye Kila kitu?

Matatizo ya mtu binafsi mnataka yawe ya washauri wake, mbona kwenye mauaji hamsemi mshauri wake wa mambo ya usalama ndio anayemchomesha?
 
Uyo mtaalamu wa siasa apo jumba jeupe hafai yawezekana mzee sana au elimu na uelewa wake wa kisiasa ni mdogo sana pia hawezi kunyumbulika kutokana na mazingira,haiwezekani uyo mtu atoe ushauli mbaya kiasi ichi kwa kipindi ichi ambacho kunaitajika uponyaji yeye anashauli mgonjwa akae juani
Acha kujifanya mjuaji, angekuwa hajui cha kufanya angeweza kushika madaraka ya Nchi na wewe unayejua ukabaki kulia lia.?
Sometimes tuwe fair jamani tunapojadili mambo.

Tuelewe kwamba walioko madarakani Wana Uwezo mkubwa kiakili, kiushawishi na pia wanafanya kazi kubwa sana kufika hapo walipo.
 
"Ntu" mwenyewe katolewa jalalani nini zinaishi humo?, lazima atashauri takataka alizokua nazo...
 
Tatizo kubwa la nchi hii ni huyu. Wengine mtawalaumu bure tu!

FB_IMG_1765650116396.jpg
 
Uyo mtaalamu wa siasa apo jumba jeupe hafai yawezekana mzee sana au elimu na uelewa wake wa kisiasa ni mdogo sana pia hawezi kunyumbulika kutokana na mazingira,haiwezekani uyo mtu atoe ushauli mbaya kiasi ichi kwa kipindi ichi ambacho kunaitajika uponyaji yeye anashauli mgonjwa akae juani
You mean prof macho makubwa?
 
Tatizo lako unafikiri CCM au huyo mama wanajali sana mambo ya uponyaji na maridhiano.
Hapa ndipo watu wanakosea kabisa. Ni kama kutegemea fisi aliyeko mbugani kuacha kula mizoga. Eti unamwambia fisi akitaka kuonekana ni mnyama smart na msafi, basi aache hayo mambo ya kufakamia mizoga. Na tena unashangaa ni nani anampa fisi ushauri wa kula mizoga.
 
Acha kujifanya mjuaji, angekuwa hajui cha kufanya angeweza kushika madaraka ya Nchi na wewe unayejua ukabaki kulia lia.?
Sometimes tuwe fair jamani tunapojadili mambo.

Tuelewe kwamba walioko madarakani Wana Uwezo mkubwa kiakili, kiushawishi na pia wanafanya kazi kubwa sana kufika hapo walipo.
Hawana uwezo mkubwa kiakili wala ushwawishi, wamerithi tu madaraka.
 
Hapa ndipo watu wanakosea kabisa. Ni kama kutegemea fisi aliyeko mbugani kuacha kula mizoga. Eti unamwambia fisi akitaka kuonekana ni mnyama smart na msafi, basi aache hayo mambo ya kufakamia mizoga. Na tena unashangaa ni nani anampa fisi ushauri wa kula mizoga.
Sijui kwa nini wengi wa Watanzania wana hii delusion kujiaminisha kwamba CCM walioshika madaraka eti wanaumia au kujali sana kuhusu namna walivyoyashika hayo madaraka au hipo siku watakuwa fair na kuwahurumia waliowadhulumu.
 
Mimi kama mwananchi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ninamshauri madam Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, inabidi kubadilika wananchi wa leo sio wa miaka ya 80 tunahitaji mabadiliko ila kama yatakuwa mabadiliko magumu basi Rais wangu ajiandae na mabadiliko ni hayo tu
 
wabinye uingizwaji wa smartphones na wabinye matumizi ya mitandao nikiwa na maana internet isiwepo kabisaa.....

Na tuanze kuvaa majani... (Zama za mawe)
 
Sote tunakumbuka enzi za hayati magufuli huyu mwamba alikuwa na mbinu moja mujarabu yaani ili ajue matatizo ya wananchi wake alikuwa anapita kitaa

Lakini huyu mwenzetu mbinu anazotumia anajua mwenyewe, sote tunajua huwezi jua matatizo ya mtu kwa kusimuliwa na jirani lazima ukae na muhusika ndipo ujue matatizo yake

Inashangaza kuona na kuendelea kusikiliza watu wako, huku ukijua hali halisi ya mtaani, na sijui akili gani unatumia kuwaza ambayo haioni wala kusikia, uhalisia upo wapi, hapo ndio naamin wanawake mnatumia hisia kuliko akili, mwanamke ukimwambia wewe ni mzuri hata kama amejipiga meka up yeye anachojari ni ile kauli wewe ni mzuri

Siku anakuja gundua tayari ashatumiwa vya kutosha na mimba juu

MH RAIS hisia zinakutesa ndio udhaifu alio gundua adui yako chawa, angekuwa mwanaume angestukia mchongo mapema sana,

Enyi watanzania ole wenu mchague kiongozi mwanamk tena nazan mnajionea, na wala hamna haja kumlaumu coz wenye wake mnajua uzaifu wa wake zenu

RAISI WETU NI KAMA MKEWETU HUKO HOME KWETU
 
Back
Top Bottom