CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Yeye akishapiga K Vant yake na skanka hana muda tena na mambo yenu.
Aachane na watu kama
BASHITE
NCHEMBA,
WASIRA,
JK,
Na wengineo mithili ya hawa.
Hawa hawana uchungu na taifa letu.
Wao maslahi yao ni kula fedha za umma na ufisadi wa aina zingine.
Awafuate wazee mfano
Warioba na Msekwa wamuoneshe uelekeo sahihi wa nchi yetu.
Yeye akishapiga K Vant yake na skanka hana muda tena na mambo yenu.
Kumbe ulitabiri hili ni mama Sasa mbona kama R4,anaipuuza huyu mama,alinza na Mungu , Sasa kama anamalizia na.....!Jamani .Mtoa mada wewe endelea tu kuweweseka. Ila muda utakapo wadia, utajikuta unaamini tu ya kwamba, jemedari wako hayupo tena.
Na sasa Nchi iko mikononi mwa mtu mwingine! Tena ni mama! Na sidhani kama anawajibika kutenda kila alichokitenda huyo mtangulizi wake.
Wahuni siyo watu wazuri. Hata yule Eva wa kwenye Biblia na yeye alikuwa ni mwanamke mzuri tu kabla ya kurubuniwa na nyoka.Kumbe ulitabiri hili ni mama Sasa mbona kama R4,anaipuuza huyu mama,alinza na Mungu , Sasa kama anamalizia na.....!Jamani .
Kwako ,Muheshimiwa Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania!Amua Sasa,Nchi isonge mbele,kelele zipungue:Futa kesi zote za uhaini za zamani,za Sasa,Ruhusu katiba mpya ijadiliwe na ianze,Pia simamie Ile 4R,Kama vile dhamira Yako ilivyokutumaHongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.
Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo:
Kwanza, usiturudishe nyuma tena. Awamu ya tano imetuonyesha nini maana ya uhuru na kujitegemea. Tanzania haina mjomba wala shangazi huko nje. Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe. Jukumu lako ni kutupanga, kutuvuvia, kutushawishi na kutuonyesha kwa mfano wako wewe mwenyewe kwamba inawezekana, tunaweza, tusonge mbele.
Pili, Mzee Magufuli amefariki, lakini spirit yake inaishi. Ni askari aliyefia vitani akiwa mstari wa mbele, katika kupambania uhuru wetu na kujitegemea kwetu. Usije kufanya kosa kufanya mapungufu ya style ya Magufuli ya uongozi, iwe kigezo cha wewe kubadili uelekeo wa nchi yetu katika kujiamini na kuthubutu. Magufuli amefariki lakini kaacha alama na kaacha spirit. Wenye hiyo spirit wamo ndani ya chama tawala, vyama vya upinzani, serikalini, sekta binafsi, kwa wakulima na wafanyakazi. Hili ni jeshi kubwa sana, usicheze nalo.
Tatu, tutakusikiliza kwa umakini, tutakuangalia sana mienendo yako, tutatizama sana namna zako kama zinaturudisha nyuma au zinatupeleka mbele. Nisiseme sana katika hili, lakini itoshe tu kwamba spirit ya Mzee Magufuli inaishi. Tukiona tu dalili kwamba unakotupeleka siko hatutakuvumilia. Tushaonjeshwa uhuru hatutarudi tena kwenye utumwa. Tushaonjeshwa kujitegemea hatutarudi kwenye utegemezi tena.
Mwisho, Mungu akupe hekima ya kuongoza watu milioni 60 kwa akili na ujasiri. Ninaamini utatuvusha salama, karama ya uongozi unayo, itendee haki. Tegemea ushirikano wetu.
Pia soma: Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Nitakumbuka kuaga dunia kwa bandari .Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania.

Daah we jamaa umetuchokaKwanini uachie madaraka 2030 wakati uwezo wa kutawala kama KAGAME au M7 unao? Kwanini uachie ngazi kujiweka roho juu huelewi atakaekuja atakukabili vipi kwa yaliyotokea?
Kila kitu unacho, na Mungu kakubariki una wananchi wajinga na wapumbavu inawezekana hapa duniani hakuna raia wapumbavu na wajinga kama wa Tanzania.
Nakushauri tawala Hadi uchoke wewe , hata INGEKUA Mimi kwa nchi hii na wananchi hawa ningejipigia Hadi nichoke mimi.
Hakuna wa kukuzuia hapo ni wewe tuu.
🤝NAUNGA MKONO HOJA
Mmejichoka wenyeweDaah we jamaa umetuchoka
Yani INGEKUA Mimi nisingeachia ngazi, Yani natawala Hadi nichoke mimiBORESHA YANGA NA SIMBA,DIAMOND SHILOLE ZUCHU WAPE PROMO SANA KWENYE MEDIA.UTATAWALA MPAKA UCHOKE