Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Aachane na watu kama
BASHITE
NCHEMBA,
WASIRA,
JK,
Na wengineo mithili ya hawa.
Hawa hawana uchungu na taifa letu.
Wao maslahi yao ni kula fedha za umma na ufisadi wa aina zingine.
Awafuate wazee mfano
Warioba na Msekwa wamuoneshe uelekeo sahihi wa nchi yetu.
 
Aachane na watu kama
BASHITE
NCHEMBA,
WASIRA,
JK,
Na wengineo mithili ya hawa.
Hawa hawana uchungu na taifa letu.
Wao maslahi yao ni kula fedha za umma na ufisadi wa aina zingine.
Awafuate wazee mfano
Warioba na Msekwa wamuoneshe uelekeo sahihi wa nchi yetu.
 
Kumbe ulitabiri hili ni mama Sasa mbona kama R4,anaipuuza huyu mama,alinza na Mungu , Sasa kama anamalizia na.....!Jamani .
 
Kumbe ulitabiri hili ni mama Sasa mbona kama R4,anaipuuza huyu mama,alinza na Mungu , Sasa kama anamalizia na.....!Jamani .
Wahuni siyo watu wazuri. Hata yule Eva wa kwenye Biblia na yeye alikuwa ni mwanamke mzuri tu kabla ya kurubuniwa na nyoka.
 
Kwako ,Muheshimiwa Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania!Amua Sasa,Nchi isonge mbele,kelele zipungue:Futa kesi zote za uhaini za zamani,za Sasa,Ruhusu katiba mpya ijadiliwe na ianze,Pia simamie Ile 4R,Kama vile dhamira Yako ilivyokutuma
Mungu na atubariki Kwa maisha Yako, Uongozi wako.
Ahsante.
 
Nitakumbuka kuaga dunia kwa bandari .
 
Kwanini uachie madaraka 2030 wakati uwezo wa kutawala kama KAGAME au M7 unao? Kwanini uachie ngazi kujiweka roho juu huelewi atakaekuja atakukabili vipi kwa yaliyotokea?

Kila kitu unacho, na Mungu kakubariki una wananchi wajinga na wapumbavu inawezekana hapa duniani hakuna raia wapumbavu na wajinga kama wa Tanzania.

Nakushauri tawala Hadi uchoke wewe , hata INGEKUA Mimi kwa nchi hii na wananchi hawa ningejipigia Hadi nichoke mimi.

Hakuna wa kukuzuia hapo ni wewe tuu.
 
Daah we jamaa umetuchoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…