Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Kuna kakitu sijakafurahia pale alipokuwa akiadress rushwa ya ngono vyuoni.
She seems unbothered
Kuna mambo mengi ya kufanywa na serikali sio hayo ya kungonoka na utu uzima wenu. Tuwaangalie watoto wa shule ya msingi, sekondari na nyie wa vyuo? Tena vikuu?? Nimekukubali my president you deserve the Post.
 
Nakubaliana nawe, napenda kupata ninachotarajia, lugha ya adabu kwa wote, makatazo kwa msisitizo, maelekezo kwa walengwa wafanye yao wafuate sheria, hapa amemaliza hataki uonevu kwa mgongo wa kushikisha adabu kwa niaba ya serikali!
 
Huyu mama amepata baraka kubwa Sana Kwa watanzania maana kila kona ni kusifiwa Tu Kwa Aina yake ya uongozi .....
Sikuzote waliopo Kwenye system ndiyo wabaya zaidi Kwenye kukwamisha mambo
 
Bila kusahau Asilimia 15 ya mshahara kukatwa na HESLB kwa kweli ni mateso makuu.

Kinachotia moyo ni dalili njema anazoonesha mama yetu kwamba ni msikivi .
 
Madam President amenikosha sana. Ana sifa za uongozi kabisa. She is a leader not a ruler!

Tuendelee kumuombea waganga kaa wasije wakamuharibu.
 
Anapotoa amri hawezi tumia lugha ya kuomba(request). Amri ni amri na ombi ni ombi.

Naamini atashape language.
 
Aacha mapambio ya ajabu kabla ya hapo kwanini ulikuwa hujamwita Iron lady??
 
Hakuna ukali wala hasira...ni maneno laini yenye kuvutia na kueleweka pia
Sio yale ya baki na mavi yako nyumbani
Kiongozi anayejiamini na kujua nguvu zake hawezi kufoka!

Power za president ni enormous. Vyombo vyote vya dola na taasisi zote viko/ziko chini yake. Hata along'ona order imetoka! Why shout?
 
Yale makesi ya visasi yaliyokuwa yanatengenezwa na mataga yanafutwa upesi.
 
Aacha mapambio ya ajabu kabla ya hapo kwanini ulikuwa hujamwita Iron lady??
Alikuwa hana platform ya kujinafasi ww ndg 😂! Alikuwa bado yupo chuoni! Sasa ni muda wa kuonyesha umahiri wake! Na ktk jamii yenye mfumo dume, ni Iron lady ndie anaweza kuongoza kwa mafanikio! Hizo hasira zako sijui zinatoka wapi?
Ninamuita sasa Iron lady, unasemaje!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…