chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Uongo, hata lugha tu haikuwa nzuri!Vizuri sana, lakini bado mapema sana kumsifia kupita kiasi hata hayati alianza vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo, hata lugha tu haikuwa nzuri!Vizuri sana, lakini bado mapema sana kumsifia kupita kiasi hata hayati alianza vizuri
Kuna mambo mengi ya kufanywa na serikali sio hayo ya kungonoka na utu uzima wenu. Tuwaangalie watoto wa shule ya msingi, sekondari na nyie wa vyuo? Tena vikuu?? Nimekukubali my president you deserve the Post.Kuna kakitu sijakafurahia pale alipokuwa akiadress rushwa ya ngono vyuoni.
She seems unbothered
Ana busara saana mamahuyu, amenifurahisha sana. Mungu azidi kumjaalia mamayetu Samia
Haka ni kaugonjwa sugu nchini yaani mtu anaweza kujipinga hadi yeye mwenyeweTusipinge kila kitu
Umeongea vizuri sana bao wengine ni illiteracy inawatesa!Nasema uongo ndugu zangu
Madam President amenikosha sana. Ana sifa za uongozi kabisa. She is a leader not a ruler!First appearance matter.
Ninamda mrefu sihangaiki kusilikiliza speech za viongozi was Tanzania.
Leo si tu nimetazama pia nimeona leadership.
Yan Kuna vitu unavitaraji kwa kiongozi na unaviona.
Kwa wasomi ilikua ngumu Sana kuelewa propaganda dhidi ya reality.
Kongole mama
Wananchi wote tumuunge mkono
Anapotoa amri hawezi tumia lugha ya kuomba(request). Amri ni amri na ombi ni ombi.Kiongozi imara na mwenye weledi hutumia lugha ya kiungwana katika kuwasiliana na watu, kutumia lugha ya kiungwana haikufanyi uwe dhaifu na wala kutumia lugha ya kuamrisha haikufanyi uwe imara, utendaji wako wa kazi ndio kila kitu.
Mama Samia endeleza mapambano, tupo nyuma yako wazalendo.
Aacha mapambio ya ajabu kabla ya hapo kwanini ulikuwa hujamwita Iron lady??Mtapata taabu saana maana Mama Samia is the 'iron lady'! Ukiingia anga zake tu kuvuruga serikali iliyoyaanzisha chini ya JPM, ambayo yy naye alikuwa sehemu ya serikali hiyo lazima apite na weye! Hamtaamini huyu mama atakavyokuwa zaidi ya Magufuli kwa kutokucheka na nyani! Mama Samia atapandisha viwango vya uongozi kiasi kwamba tutatamani aendelee kutawala kwa muda mrefu! Nafasi ya mwanamke kuchukua madaraka makubwa inaenda kuhakikishwa kwa utendani bora wa Mama Samia! Wezi mmeula wa chuya! Hamna chenu hapa!
Kiongozi anayejiamini na kujua nguvu zake hawezi kufoka!Hakuna ukali wala hasira...ni maneno laini yenye kuvutia na kueleweka pia
Sio yale ya baki na mavi yako nyumbani
Very composed and humble!Indeed she is a leader
Very composed and calm but ujumbe unafika kirahisi sana
Alikuwa hana platform ya kujinafasi ww ndg 😂! Alikuwa bado yupo chuoni! Sasa ni muda wa kuonyesha umahiri wake! Na ktk jamii yenye mfumo dume, ni Iron lady ndie anaweza kuongoza kwa mafanikio! Hizo hasira zako sijui zinatoka wapi?Aacha mapambio ya ajabu kabla ya hapo kwanini ulikuwa hujamwita Iron lady??
Mapema mno ila mwanzo mzuri.Mama akipiga kama miaka mingine kumi Tanzania itafika mbali sana.