Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Kwa hiyo maneno y kigogo mnayaleta huku kutuchambulia siasa!? [emoji848]Mh Raisi mama Samia anasema takukuru waangalie Kama kuna kesi za kubumba bumba wasizipeleke mahakamani
Zinaichafua serekali hongera mama kwa kutambua"wanyonge walikuwa Wana nyongwa kweli"
Kesi nyingi ni zao la kujipendekeza so dhani hata Kama hayati alikuwa anafurahia
Bora ajira zitolewe,kuliko kua nje ya ajira.Mishahara duni, vyeo havipandi.
Mkiajiliwa na mikopo yenu hiyo si mtaishia kazini siku ya kuripot tu
Kuna yule alikuwa Mtendaji Mkuu wa RAHCO, Benhadard Tito. Yuko lupango kwa mwaka karibia tano sasa.Mh Raisi mama Samia anasema takukuru waangalie Kama kuna kesi za kubumba bumba wasizipeleke mahakamani
Zinaichafua serekali hongera mama kwa kutambua"wanyonge walikuwa Wana nyongwa kweli"
Kesi nyingi ni zao la kujipendekeza so dhani hata Kama hayati alikuwa anafurahia
😂😁😀😄😃😅😆Wembe Ni uleule
Maneno yapi ya kigogo unateseka ukiwa pande zipi za usukumaniKwa hiyo maneno y kigogo mnayaleta huku kutuchambulia siasa!? [emoji848]
Hivi nyinyi hamuelewi selikali haina hela, subirini kidogo tungeneze mambo yakae sawaMheshimiwa rais,
Vijana tuliohitimu vyuo toka mwaka 2015 tuna hali ngumu sana mtaani.
Hima,tunaomba utuangalie(sana) sisi vijana tuliohitimu vyuo toka mwaka 2015 kwani tunateseka katika nchi yetu wenyewe.
Kumbuka tumeandaliwa katika mazingira ya kutegemea kuajiriwa.
Lakini toka mwaka 2015 tumewekwa kando kwa sababu lukuki zikiwemo;
UHAKIKI WA WATUMISHI,KUJENGA MIUNDOMBINU KWANZA na KUUNDA UPYA MFUMO WA AJIRA.
Sasa mama,tunaomba katika utawala wako utupe jicho la kulia.
Halafu pia uone kama ni watoto wako hawa wanaohangaika.
Mungu amekuweka wewe kwenye urais kwa makusudi mengi likiwemo hili suala la ajira.
Basi tunaomba uteekeleze mipango ya Mungu.
NB: Ukimaliza hili,fumuafumua kitu kiitwacho "HESLB".Ni chukizo.
Umelala sana amka.Kwa hiyo maneno y kigogo mnayaleta huku kutuchambulia siasa!? [emoji848]
Mungu anijalie afya njemaMh Raisi mama Samia anasema takukuru waangalie Kama kuna kesi za kubumba bumba wasizipeleke mahakamani
Zinaichafua serekali hongera mama kwa kutambua"wanyonge walikuwa Wana nyongwa kweli"
Kesi nyingi ni zao la kujipendekeza so dhani hata Kama hayati alikuwa anafurahia
HAKI HUINUA TAIFAMh Raisi mama Samia anasema takukuru waangalie Kama kuna kesi za kubumba bumba wasizipeleke mahakamani
Zinaichafua serekali hongera mama kwa kutambua"wanyonge walikuwa Wana nyongwa kweli"
Kesi nyingi ni zao la kujipendekeza so dhani hata Kama hayati alikuwa anafurahia
Ushauri wako ni fyongo. Ni uchochezi. Hauna mantiki. Wamefanya vizuri kuuondoa. Wako sahihi.Kwa muda sasa, udhibiti wa mada hapa JF umekuwa ukiongezaka kupita kiasi na kuondoa kabisa maana ya slogan inayotumiwa na huu mtandao( inafahamika kwa member humu).
Inafika hatua mtu unaandika mada huku unajiuliza hii mada itabaki au itafutwa. Tumefika hatua mbaya.
Sasa leo nimelata mada ya kuwashauri Mama Samia ateua IGP,CDF na Boss wa TISS kutoka Zanzibar eti nayo imeondolewa. This is too much!
Mlifunzwa katika vitabu vyenu kuwa usifurahi mwanzoni.Akikosea atakisolewa hata hayati alianza vizuri
Ndo unaandikaga hivihivi siku zote?Hv nyinyi hamuelewi selikali hainahela subilini kidogo tungeneze mabo yakae sawa
Hayo yameruhusiwa kikatiba na ikatungwa sheria yake. Labda umshauri afute lakini chochote kilichopo kikatiba in sheria. Na kiongozi mzuri ni yule anaye zingatia katiba na sheria kama JPJM alivunja katiba hatakiwi kumwigayaaani vikirudi tu hivyo tutabak hapahapa kwa miaka 50 ijayo.nchi inaongozwa kisayans.ukiruhusu hayo unayoyatka itakua kazi kila siku majukwaaan na matumbo.we need kaz hapa kazi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app