Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hata samia afanye nini hawezi kufuta legacy ya JPM hilo namkwambia na pia hata JPM angefanya nini hawezi kufuta legacy ya JK iwe kwa mtu mmoja mmoja au kwa taifa zima Hata YESU angefanya miujiza anavyoweza hawezi kufuta legacy ya MUSA kwa wana wa ISRAEL

JPM ile ni zawadi kutoka kwa Mungu amefanya alichotumwa kwa watanzania ameondoka hata Musa mwenyewe hakufika nchi ya Ahadi japo ni yeye ndo aliwatoa Misri kuwapeleka huko ambapo wote walikuwa hawapajui kumbuka hata Musa alipata vipingamizi sana kwa hao hao aliowatoa utumwani mpka kufika kipindi akakata tamaa

Ni jambo la kawaida sana kwa binadamu kuto ridhika na kile alichonacho au kubarikiwa lakini kwa nchi alivyoipokea JPM ingeendelea vile leo tungekuwa tunanunua kiwanja majoe au chamazi miguu 20x20 kwa milioni 60
 
Mama President waangalie Tanesco kwa jicho kali, umeme umekua kama magendo sasa!! Mabwawa yamejaa maji, ila umeme full kukatika. Hapa nilipo kuanzia saa 9 umekatika mara 3. Now tupo gizani na ni tendency ya kawaida sasa!
 
Mama Samia ana room kubwa saana ya kumfunika JPM!! Wengi hawajui tu!!

Akiitumia vema turufu yake hii basi ana miaka 14 mbele yake kuanzia majuzi.

Kuna amshimo mengi na mianya kibao jamaa kaiacha!! Kifupi kaacha taifa likiwa limegawanyika !!
 
Kalale
 
Jiwe hana legacy zaidi ya udhalimu na dhuluma za kutisha. Hakustahili hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi kumi. Kaiacha nchi mahali pabaya sana. Mwenyezi Mungu Mkubwa 🙏🏾
 
Kufuta nyayo za jemedali Magufuli mnahitaji kuipindua ardhi ya Tanzania juu chini vinginevyo mtajikuta mnakubali ni sawa kujenga minara ya JPM kila mkoa. Jamaa alisimika legacy siyo utani
 
Wewe naona unaishi korea kaskazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…