Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hakika SSH ni kiongozi
Haya maneno yapo miaka yote hata kwa JPM yalikuwepo
Tujikumbushe
 
Kusomwa ripoti ya CAG leo tu na kuibua madudu yote na kuyaweka wazi watu tumeshamsahau Huyo jpm aliyejifanya rais wa wanyonge kumbe mpigaji kama kawa
Tujikumbushe, kipindi anaingia JPM na jinsi tulivyomtukana JK
 
Hoja kuu ilikuwa kwamba Mama ana room kubwa sana ya kumfunika JPM, karibu mambo mengi jamaa alikuwa mkurupukaji!!
 
Mama President waangalie Tanesco kwa jicho kali, umeme umekua kama magendo sasa!! Mabwawa yamejaa maji, ila umeme full kukatika. Hapa nilipo kuanzia saa 9 umekatika mara 3. Now tupo gizani na ni tendency ya kawaida sasa!
Kwa kweli Tanesco wamezidi. Awafyekelee mbali kabisa maana hata ule ubinadamu wa kufikiria watu wanaotegemea kupata mlo wao wa kila siku hawana
 
Usimpangie Rais cha kufanya anajua nini cha kufanya mbona mlishindwa kumpangia aliyekuwepo.
 
1. Ajira kwa wahitimu
waliorundikana mitaani hasa wale wa taaluma ya ualimu
2. Kupandisha mishahara na madaraja kwa wafanyakazi ambayo haijapanda tokea mwaka 2015
3. Uhuru wa vyombo vya habari
4. Bunge live
5. Uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote
6. Kuendelea kujenga miundo mbinu
7. Kufuta kitambulisho Cha machinga au wajasiriamaliK Na Kuondoa mrundikano wa Kodi
8. Kurudisha FAO la kujitoa
9. Kurudisha Demokrasia ya kweli
10. Kupunguza riba kubwa ya bodi ya mikopo na kurudisha riba nafuu Kama ilvyokuwa kwa jk
N.k.

Kama Samia akiyafanya haya pamoja na mengine, nitakuwa wa kwanza kumsahau Hayati Magufuli kwani Mimi Ni mhanga wa mengi Kati ya hayo yaliyofanywa katika utawala wa Magufuli
Wewe bado unamkumbuka "bush man" huyo tu????
 
Kasome tena katiba! Mama Samia baada ya hii miaka 4 kuisha,anaruhusiwa kugombea miaka mitano ijayo basi! Katiba haisemi kwamba sababu, hajapigiwa kura,ndiyo aje aanze as a fresh kwa kupigiwa kura hapana! Hata ingekua imebaki mwaka mmoja,angemalizia huo mwaka,kama akipenda,anagombea kwa miaka mitano tena,then ikiisha anamaliza mda wake
Hapo kwenye mwaka mmoja hapana. Soma ibara ya 40 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
 
1. Ajira kwa wahitimu
waliorundikana mitaani hasa wale wa taaluma ya ualimu
2. Kupandisha mishahara na madaraja kwa wafanyakazi ambayo haijapanda tokea mwaka 2015
3. Uhuru wa vyombo vya habari
4. Bunge live
5. Uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote
6. Kuendelea kujenga miundo mbinu
7. Kufuta kitambulisho Cha machinga au wajasiriamaliK Na Kuondoa mrundikano wa Kodi
8. Kurudisha FAO la kujitoa
9. Kurudisha Demokrasia ya kweli
10. Kupunguza riba kubwa ya bodi ya mikopo na kurudisha riba nafuu Kama ilvyokuwa kwa jk
N.k.

Kama Samia akiyafanya haya pamoja na mengine, nitakuwa wa kwanza kumsahau Hayati Magufuli kwani Mimi Ni mhanga wa mengi Kati ya hayo yaliyofanywa katika utawala wa Magufuli

Na kuna Uwezekano Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan akaja kuwa Rais mzuri kuliko aliyesinzia Kimoja ( Milele ) sasa Udongoni Chato.
 
1. Ajira kwa wahitimu
waliorundikana mitaani hasa wale wa taaluma ya ualimu
2. Kupandisha mishahara na madaraja kwa wafanyakazi ambayo haijapanda tokea mwaka 2015
3. Uhuru wa vyombo vya habari
4. Bunge live
5. Uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote
6. Kuendelea kujenga miundo mbinu
7. Kufuta kitambulisho Cha machinga au wajasiriamaliK Na Kuondoa mrundikano wa Kodi
8. Kurudisha FAO la kujitoa
9. Kurudisha Demokrasia ya kweli
10. Kupunguza riba kubwa ya bodi ya mikopo na kurudisha riba nafuu Kama ilvyokuwa kwa jk
N.k.

Kama Samia akiyafanya haya pamoja na mengine, nitakuwa wa kwanza kumsahau Hayati Magufuli kwani Mimi Ni mhanga wa mengi Kati ya hayo yaliyofanywa katika utawala wa Magufuli
Hapo tutaanza kuimba mitano tena
 
Kwani kuvaa hiyo barakoa hadi uambiwe na nani?? Hivi nani aliye waroga hapo ufipa??
 
Mama Samia yupo sasa na leo, asipoogopa kivuli atafanikiwa sana.
 
Tunaomba Rais Samia Suluhu akague NSSF, PSSSF na TANESCO.

FAO LA KUJITOA LIREJESHWE

WATU WALIPWE MAFAO
 
1. Ajira kwa wahitimu
waliorundikana mitaani hasa wale wa taaluma ya ualimu
2. Kupandisha mishahara na madaraja kwa wafanyakazi ambayo haijapanda tokea mwaka 2015
3. Uhuru wa vyombo vya habari
4. Bunge live
5. Uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote
6. Kuendelea kujenga miundo mbinu
7. Kufuta kitambulisho Cha machinga au wajasiriamaliK Na Kuondoa mrundikano wa Kodi
8. Kurudisha FAO la kujitoa
9. Kurudisha Demokrasia ya kweli
10. Kupunguza riba kubwa ya bodi ya mikopo na kurudisha riba nafuu Kama ilvyokuwa kwa jk
N.k.

Kama Samia akiyafanya haya pamoja na mengine, nitakuwa wa kwanza kumsahau Hayati Magufuli kwani Mimi Ni mhanga wa mengi Kati ya hayo yaliyofanywa katika utawala wa Magufuli
Kwani lengo lako ni kutaka asahaulike? Nyie ndio Vijana Wachawi
 
Kasome tena katiba! Mama Samia baada ya hii miaka 4 kuisha,anaruhusiwa kugombea miaka mitano ijayo basi! Katiba haisemi kwamba sababu, hajapigiwa kura,ndiyo aje aanze as a fresh kwa kupigiwa kura hapana! Hata ingekua imebaki mwaka mmoja,angemalizia huo mwaka,kama akipenda,anagombea kwa miaka mitano tena,then ikiisha anamaliza mda wake
Acha uongo. Samia ana miaka 5 mbele tu kwa ssbabu atahudumia uraisi huu wa kuapishwa zaidi ya miaka 3. Angekuwa raisi kwa kuapishwa kwa miaka 3 or less 3 yrs, angegombea miakaingine 10 mbele.
 
1. Ajira kwa wahitimu
waliorundikana mitaani hasa wale wa taaluma ya ualimu
2. Kupandisha mishahara na madaraja kwa wafanyakazi ambayo haijapanda tokea mwaka 2015
3. Uhuru wa vyombo vya habari
4. Bunge live
5. Uhuru wa kufanya siasa kwa vyama vyote
6. Kuendelea kujenga miundo mbinu
7. Kufuta kitambulisho Cha machinga au wajasiriamaliK Na Kuondoa mrundikano wa Kodi
8. Kurudisha FAO la kujitoa
9. Kurudisha Demokrasia ya kweli
10. Kupunguza riba kubwa ya bodi ya mikopo na kurudisha riba nafuu Kama ilvyokuwa kwa jk
N.k.

Kama Samia akiyafanya haya pamoja na mengine, nitakuwa wa kwanza kumsahau Hayati Magufuli kwani Mimi Ni mhanga wa mengi Kati ya hayo yaliyofanywa katika utawala wa Magufuli
Kwani lengo lako ni kusahaulika Magu au kuendeleza nchi pale alipojitahidi kuifikisha au roho mbaya tu?
 
MH SAMIA, nakushauri sana ili kutengeneza legacy yako na kuonyesha hukukubalina na mtangulizi wako basi nashauri utangaze tota lock down kwa miezi miwili kuanzia sasa ili kupambana na CORONA. Na hii itakupa heshima kubwa sana kwa wapinzani, wazungu na wanachi wa mjini..
Kila la kheri katika kutekeleza
 
Back
Top Bottom