Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Haya maneno yapo miaka yote hata kwa JPM yalikuwepoHakika SSH ni kiongozi
Tujikumbushe
Magufuli, lipa kisasi ikibidi; historia ni mwalimu mzuri, itakulinda
MAGUFULI LIPA KISASI IKIBIDI, HISTORIA NI MWALIMU MZURI; ITAKULINDA.! By Malisa GJ, Leo nataka niwafundishe kidogo kuhusu historia na umuhimu wake. Katika historia ya Kanisa kuna maPapa waliwahi kufutwa kwenye orodha ya mapapa wanaotambulika na wakawa declared #AntiPope. Papa Felix II ni...