Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Jiwe ni zawadi kutoka kwa Mungu?
 
Hakuna lockdown wala mama yake na lockdown hapa Tanzania-Magufuli alishasema

Wewe kama una hela zako jipige lockdown acha watafutaji wengine waendelee kupambana msituletee mambo ya hao wazungu huku sisi watz tushazoea hio korona na haitufanyi kitu
 
Jiwe hana legacy zaidi ya udhalimu na dhuluma za kutisha. Hakustahili hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi kumi. Kaiacha nchi mahali pabaya sana. Mwenyezi Mungu Mkubwa [emoji1488]

katoe na sadaka ya shukrani mkuu.

Mungu amewafurahisha kilinge cha ufipa.
 
Tunataka mama kujitofautisha na hayati, kama wananchi wanavyosema kwenye mitandao kuwa kial alichofanya hayati ni kibaya ikiwemo hata hili kuturusu kuendelea na maisha ya kawaida wakati wa corona. Kwa hiyo ushauli unabacki palepale aipge lockdown masaa 24 kwa mwezi tanzania nzima ili kufunga na kuzima alama na misimamao ya Dr Jiwe.

Hakuna lockdown wala mama yake na lockdown hapa Tanzania-Magufuli alishasema.

Wewe kama una hela zako jipige lockdown acha watafutaji wengine waendelee kupambana msituletee mambo ya hao wazungu huku sisi watz tushazoea hio korona na haitufanyi kitu.
 
Hapana! Mfano Magu angefariki 2024, Angepiga huo mmoja then kama angependa angepiga 2025 hadi 2030 baada ya hapo angeachia!
Acha uongo wewe!!!

KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 1977.

Ibara 40 (4)

"Endapo makamu wa Rais anashika kiti Cha Rais kw mujibu wa masharti ya ibara ya 37 (5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini Kama akishika kiti Cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu."
 
Haya maherufi makubwa yanini
 
Ngoja tuchimbe uchafu wote halaf ndo tutajua hiyo legacy..si alikuwa anaua wanaosema machafu yake. Sasaiv yuko wapi
 
Awamu ni ile ile na ajenda ni zile zile. Hakuna lockdown, watu wachape kazi!
 
Unataka watu wafe na njaaa
 
Naona kuna trend JF ya kila mtu kujifanya ni mshauri wa nchi against mtazamo wa hayati anyway naona itaisha soon maana kilichofanyika ni kama substitution timu ni ileile japo natamani kusikia jibu kutoka upande wa pili wa timu vipi akifuata ushauri wenu 2025 mtampigia kura, au ndio mnamtega ili mnyonyoe?
 
hiyo sio kazi yake,
wizara ya afya imeshatoa maelekezo, vaa barakoa hakuna atakaye kukamata, vaa hata ukiwa chooni popote pale vaa kwa afya yako mawa mikono kwa maji tiririka na pia epuka mikusanyiko isiyo lazima lkn pia kumbuka kupiga nyungu ukirudi nyumbani.
 
We dogo mpuuzi kweli, sasa hiyo lock down ina faida gani?

So aweke lock ili awe tofauti na mtangulizi wake tu?

Rais hawezi fata ushauri wa kipuuzi kama huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…