Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mkurugenzi wa TASAC alikua haelewi majukumu yake
 
Mh.Mama President,Samia.Nikiwa kama mwananchi mtiifu,ningeshauri ufuate Utaratibu wa kuwapata Watanzania waliobobea katika Diaspora nje ya nchi.Mh Rais mstaafu Kikwete alikuwa na utaratibu wa kuwatafuta Watanzania waliobobea kwenye Fani mbali mbali lakini wapo nchi za Nje wanafanya kazi.Mfano huyu wa TPDC,Alikuwepo Mama jina nimelisahau TIC(Uwekezaji) alimtoa South Africa,Tido Mhando (TBC),na wengine wengi.Huu ni ushauri tu.
 
Wapo wengi tu.

Mfano Sabasaba Mashingi wa Benk ya Posta, Mchechu, Laurance Mafuru, Gratis Sakaya ambeye nakumbuka Mara ya mwisho Standard Bank Dubai ,Tomas Kashilila aliyewshi kuwa Katibu wa Bunge kwa ujumla wako wengi sana.
 
1Alipotangaza msiba alituambia maombolezo siku 14 mara ikabadilika na kua siku 21.

2 Alipoteua mawaziri alituambia nitawaapisha kesho saa nne badala yake wakaapishwa saa 9.

3 Kateua mtu Jana leo anamtengua.

Hii maana yake nini?
 
Naunga mkono hoja, ingefaa amerejeshe yule Mama wa TIC na pale TBC arejee angalau aliyerudisha taswira ya iliyokuwa TvT
 
Wapo wengi tuu
Mfano Sabasaba Mashingi wa Benk ya Posta, Mchechu, Laurance Mafuru, Gratis Sakaya ambeye nakumbuka Mara ya mwisho Standard Bank Dubai ,Tomas Kashilila aliyewshi kuwa Katibu wa Bunge kwa ujumla wako wengi sana
Uwe makina mama na watu wanaotajataja majina ni wanufaika wa watu waliotajwa siyo hivyihivyi tu.
 
1Alipotangaza msiba alituambia maombolezo siku 14 mara ikabadilika na kua siku 21.
2 Alipoteua mawaziri alituambia nitawaapisha kesho saa nne badala yake wakaapishwa saa 9.
3 Kateua mtu Jana leo anamtengua
Hii maana yake nini?

Endelea kuhoji ujinga πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Sio muda sana utajua kua haujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…