Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Inamaana watanzania sharti waishi kama mashetani? Kwani hatuna haki ya kula raha na kufurahia maisha yetu ndan ya nchi yetu? Halafu Ruxa ndo kirusi gani mzee wangu? Samahan lkn mzee wang
 
Ruksa ndio ilikua mwanzo wa kuingiza hata TV ndani ya TZ. Wanafanyabiashara wakubwa TZ ndio walizaliwa kipindi cha ruksa... acha kudharau ruksa..ilituondoa kwenye kupanga mistari ya unga na sabuni...
Ni Kweli lkn ikifikia hatua ya Wananchi kuwa na pesa kuliko Serikali,hapo sasa nchi haitatawalika.
 
Fanya kazi ufaidike zinapokuja fursa.
Waliozoea kula mapato ya kodi za wafanyabiashara sasa hivi watazamie kula jasho lao.
 

Sisi Watumishi wa umma kamwe hatuto msahau.
Alidhamiria kutopandisha vyeo(madaraja).RIP Jeipiemu.

 
Kama unataka kuishi kama shetani kamfwate bwana yule kaburini chato.
 
Mtoto huyo, akikua atajua.
Ruksa ndio ilikua mwanzo wa kuingiza hata TV ndani ya TZ. Wanafanyabiashara wakubwa TZ ndio walizaliwa kipindi cha ruksa... acha kudharau ruksa..ilituondoa kwenye kupanga mistari ya unga na sabuni...
 
Mama huyu ni Rais wa Watanzania tofauti na wale marais wa Wanyonge!!!!!
 
Sisi Watanzania sijui ni kwa sababu ya mijeledi ya Wakoloni tunaona yule anayetunyanyasa ndie mwema na tunamsifia na kumuabudu.

Hivi kuna kitu mujarabu kama "Rukhsa" ila usivunje sheria

Mimi nakumbuka madhila ya utawala wa Awamu ya kwanza ila tuliambiwa ni kwasababu ya ukombozi kusini kwa Afrika na haswa Msumbiji.

Ikaja Awamu ya neema na Baraka Awamu ya Rukhsa tukauza zahabu hadi kwenye Mabenki tunaanza kupiga viwalo shati za Juliana mchelemchele.

Sasa Mimi huwa kushindwa kuelewa wandugu kama Ugali Upo kwanini tushindie Mafenesi.
 
Jamaa ali implement vitu vya ajabu sana ,anafikiri watu wote wameajiriwa serikalini? Yaani kwenda kunywa bar mchana kwa fedha yangu alikuwa anaona kama ni kero,anataka watu waishi kama mashetani bila kuwa na furaha.
Mkuu ukishalinywa kojo la shetani unageuka shetani. Ni bora hata hizo baa zikafungwa kwani zinaleta baa kama lilivyo jina lake
 
Inasikitisha sana.Ni kweli kabisa rais SSH hajajua wanaompa suport na kufurahia aendelee anayoyafanya ni wapinzani ili mwisho wa siku wamuite dhaifu na wachukue point pale CCM itakapoingia kaburini.R.I.P CCM
 
Ni Kweli lkn ikifikia hatua ya Wananchi kuwa na pesa kuliko Serikali,hapo sasa nchi haitatawalika.

Wengi wanaoshangilia, hawayajui haya. Watu wakiwa na pesa zisizo na maelezo. Zinazotokana bandit activities, nchi itajaa ufedhuli. Lzm kuwe na balance. Hii ni nchi, siyo familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…