Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Inamaana watanzania sharti waishi kama mashetani? Kwani hatuna haki ya kula raha na kufurahia maisha yetu ndan ya nchi yetu? Halafu Ruxa ndo kirusi gani mzee wangu? Samahan lkn mzee wangHamjamboni nyote wanangu humu jamvini? Naamini mnaendelea kuwaza tena vizuri. Hivyo, si vibaya kuwapa kachangamoto kadogo kanakonikwaza baba yenu. Kwa anavyoanza kujidhihirisha, kama sijamuelewa vibaya, rais SSH anaoneka kuwa kama Ruxa kuliko hata mzee wa ukweli na uwazi. Sijui wanangu mnamuonaje katika hili.