Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,112
- 1,429
Dah aiseee kuna watu mtaani wabishi sana yaan utadhan waliwekewa limbwata hilo jina la misukule linawafaa sanaMtukufu wao kaacha misukule huku duniani ambayo bado haijitambui kabisa inahitaji maombi ya imani kali kui restore to the default configuration ya ubongo..
katika usafi huo hii familia aipe kipaumbele kama familia za wengineKwanini hizi mada zinakuja mpya kila baada ya dakika chache. Mwachieni mama apige kazi msimsumbue ndio kwanza ana wiki tatu! Hata kufanya usafi bado hajamaliza!
Mh. Mama Samia,
Mzee wetu Julius K. Nyerere amelifanyia nchi hii makubwa na mengi kuliko Rais mwingine yeyote.
alichukua muda wake mwingi kuwapigania watanzania na kuwa na muda mdogo sana na familia yake
na hakujilimbikizia mali kwa ajili ya watoto wake.
Leo familia yake ni kama imetelekezwa kuna nafasi nyingi za utendaji na za kisiasa serikalini ikikupendeza
walau wakumbuke watoto wa mzee huyu kulingana na uwezo wao.
sina shaka na Mama Nyerere anapatiwa huduma za kutosha lakini tuendelee kumtunza lakini pia kuitunza familia yake hasa watoto na wajukuu
wa Mzee Nyerere nii hayo tu. Ivoo Tuu
Kutokua kwenye walau kwenye ulingo wa siasa kunapoteza hata legacy ya baba/babu yao.Mhhh watoto na wajukuu wa nyerere wapo vizuri usiwachukulie poa,kwa maisha tu ya kiTZ wanaishi vizuri au unataka wawe na vituo vya mafuta na mighorofa ya kupangisha town?
Kutokua kwenye walau kwenye ulingo wa siasa kunapoteza hata legacy ya baba/babu yao.
pili tunaona wengine mpaka wamekuwa marais, wengine wapo kwenye mifumo toka baba zao hadi wajukuu.
basi walau tuwape na wao nafasi serikalini sio kwa huruma bali kwa merits
Mpe muda kwanza afanye usafi, hayo mengine yapo na yatatekelezwa, subiria mama amalize kufanya usafi.katika usafi huo hii familia aipe kipaumbele kama familia za wengine
Huo ni UHUJUMU UCHUMI! HAIKUBALIKI ASILANI!Madam President njoo huku TRA wanakuangusha hakuna system leo siku ya 3 hatufanyi kazi kabisa, sasa sijui hayo malengo kama utayafikia.
Dogo wakati wa mapambio umepita na MwendazakeMama Samia ambaye alikuwa Makamu wa Rais toka 2015, pia ameandika historia ya kuingia madarakani baada ya kufariki kwa rais aliyekuwepo madarakani, John Pombe Magufuli.
Mara baada ya kushika hatamu, Rais Samia amekuwa akijipambanua kwa staili ya uongozi tofauti na ya mtangulizi wake Hayati Magufuli. Utofauti huo si kwenye sera tu bali hata katika mambo masuala kama uzungumzaji, namna ya kufikisha ujumbe, uungwana na katika mambo mengine madogo madogo wakiwamo wasaidizi wake wanaoonekana naye kila siku.
Katika sera, ameanza na kutaka mabadiliko ya hali ya mahusiano na nchi za nje akitaka yaboreshwe zaidi na kuvutia wawekezaji, kupanua uhuru wa habari na kutaka ubabe usitumike katika ukusanyaji wa kodi. Pia amekemea watu kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi na kuitaka malaka ya kupambana na rushwa kuachana na kesi ambazo hazina ushahidi wa kutosha.
Yawezekana kubwa kuliko yote ni nia yake ya kulipatia ufumbuzi suala la janga la corona nchi humo. Utawala wa Rais Magufuli ulishutumiwa vikali kwa kutochukua hatua stahiki kupambana na janga hilo, lakini sasa Mama Samia amesema ataunda kamati ya wataalamu kushauri serikali yake nini cha kufanya juu ya janga hilo.
Hatua hizo zimezua mjadala mkubwa ndani na nje ya Tanzania. Lakini Tanzania si nchi ya kwanza kuona hali kama hiyo, mwaka jana rais wa Burundi Pierre Nkurunziza alifariki miezi michache kabla ya kutoka madarakani, na nafasi yake ikachukuliwa na Evariste Ndayishimiye ambaye alishinda uchaguzi kabla ya kifo cha Nkurunziza.
Nkurunziza pia pia alituhumiwa kwa kutozingatia tahadhari dhidi ya corona, mara baada ya mrithi wake kuingia amadarakani alichukua hatua kadhaa kubadili hali ya mambo. Pia alianzisha mazungumzo ya kuboresha mahusiano na taifa jirani na hasimu la Rwanda. Na hivi karibuni utawala wake umeonekana kuonesha dalili za kutanua wigo wa uhuru wa vyombo vya habari kwa kuvifungulia vyombo vya ndani vilivyofungiwa kwenye utawala uliopita.
Japo mifano ya Tanzania na Burundi mabadiliko hayo yametokea wakati watangulizi wakiwa wamefariki dunia zipo nchi za Afrika ambazo mabadiliko ya uongozi yalifanyika kwa bashasha huku watangulizi wakiamini warithi wao wataendeleza pale walipoachia ama hata kuwalindia maslahi yao watakapoingia madarakani. Hata hivyo hali ya mambo ikabadilika na warithi wakabadili sera za watangulizi bila kificho. Katika baadhi ya nchi hali hiyo ikazaa na mizozo mikubwa ya kisiasa.
🤣🤣🤣Dogo wakati wa mapambio umepita na Mwendazake
Jipange vizuri umri unao
Aisee huyu mama inabidi awe makini sana,Inabidi ajue aina ya viongozi alionao na jinsi walivyojaaliwa uwezo/vipaji wa kubadilika badilika at any time ( T).ajue kua anaongoza serikali ambao viongozi wenzake wana uwezo wa kujipendekeza kwa hali yoyote ile ili kulinda nafasi/matumbo yao.Hamjambo wote...??
Mama yetu chonde usiwachekee wanaomponda Rais aliyepita, ni wanafiki ambao hata wewe watakuponda pia..
Labda Magufuli alifanya ufisadi, yes ni jambo baya linalofaa kukemewa vibaya, but hey, he had Tanzanians best interests at heart! No doubt...
And yes kama biandamu wengine walivyo na madhaifu,alikua na udhaifu wa kutaka kufanya decisions peke yake,kwa mfano kuendeleza Chato...
Aliendesha Tanzania as king and not a president...
Mama Samia , huu udhaifu uwe ndio njia ya kudefine serikali yako,
Mama usichukue na kufanya miradi ya Magufuli tofauti,
Kwa kufanya hivyo utakua unatembelea kivuli cha Magufuli,...... ambapo miradi yake ikiisha je na serikali yako itakua imekufa???
Angalia the whole picture...his leadership is what you should change not miradi yake....
Create your own government, unique leadership style..huku ukiangalia kwa ukaribu wapi viongozi waliopita walishindwa ku lead a nation kwa weledi....
Mimi naomba na ninakuombea uwe kiongozi mwenye busara...
Magufuli Aliweka Gap kwetu sisi wananchi tukawa na Bunge tusilione,akazuia mikutano ya hadhira ya wanasiasa, na kufungia vyombo vya habari...
Hii yote ni kucreate tabaka/gap kati ya viongozi na wananchi, which we all know was because he didnt want to be questioned or challenged of his decisions on Projects such those of Chatto.
He lead the nation singly....
Itapendeza Government yako kama itakua serikali sikivu na iwa involve/engage wananchi
Wasalaaaaaaaaaaam, Becky!
Sio wema sepetu kweli wewe , anyway miradi ya Jiwe Ile mikubwa haina wahisani na inazidi uwezo wa Taifa kuihudumia, thus why Jiwe alifanya yafuatayoHamjambo wote...??