Hamjambo wote...??
Mama yetu chonde usiwachekee wanaomponda Rais aliyepita, ni wanafiki ambao hata wewe watakuponda pia..
Labda Magufuli alifanya ufisadi, yes ni jambo baya linalofaa kukemewa vibaya, but hey, he had Tanzanians best interests at heart! No doubt...
And yes kama biandamu wengine walivyo na madhaifu,alikua na udhaifu wa kutaka kufanya decisions peke yake,kwa mfano kuendeleza Chato...
Aliendesha Tanzania as king and not a president...
Mama Samia , huu udhaifu uwe ndio njia ya kudefine serikali yako,
Mama usichukue na kufanya miradi ya Magufuli tofauti,
Kwa kufanya hivyo utakua unatembelea kivuli cha Magufuli,...... ambapo miradi yake ikiisha je na serikali yako itakua imekufa???
Angalia the whole picture...his leadership is what you should change not miradi yake....
Create your own government, unique leadership style..huku ukiangalia kwa ukaribu wapi viongozi waliopita walishindwa ku lead a nation kwa weledi....
Mimi naomba na ninakuombea uwe kiongozi mwenye busara...
Magufuli Aliweka Gap kwetu sisi wananchi tukawa na Bunge tusilione,akazuia mikutano ya hadhira ya wanasiasa, na kufungia vyombo vya habari...
Hii yote ni kucreate tabaka/gap kati ya viongozi na wananchi, which we all know was because he didnt want to be questioned or challenged of his decisions on Projects such those of Chatto.
He lead the nation singly....
Itapendeza Government yako kama itakua serikali sikivu na iwa involve/engage wananchi
Wasalaaaaaaaaaaam, Becky!
Sio wema sepetu kweli wewe , anyway miradi ya Jiwe Ile mikubwa haina wahisani na inazidi uwezo wa Taifa kuihudumia, thus why Jiwe alifanya yafuatayo
1.Kusitisha vibali vya ajira , ( only kiduchu tuu aliruhusu)
2. Kukopa ndani na nje ya nchi , ukopji wa ndani ulilenga kwenye mifuko ya hifadhi na hapa iliathiri pesa za wastaafu, ukopaji wa nje uliongeza deni la Taifa
3. Kubuni Kodi za kila aina ikiwemo kuwabambikizia kesi watu wenye pesa , na pale walipotoa pesa kesi iliisha..
4. Kupiga chini nyongeza ya mishahara
5.Tenda nyingi zilipewa taasisi za kiserikali ili malipo yafanyike kiduchu , ili pesa ipelekwe kwenye miradi ,
6.Kutafta kasoro kwenye mfumo wa ajira eg wenye vyeti feki , na kuchukua pesa zao za mafao
7. N.k
Bado katika mazingira haya Hali ilikuwa mbaya ,na option iliyokuwepo ni yeye kubaki madarakani ili aimalizie....
Kwa mtazamo wangu mama ana option nne
1. Kuipiga chini hyo miradi
2.Kuendana nayo mdogo mdogo kulingana na uwezo wa Taifa
3.Kuendana nayo Kwa style ya kimaghufuli (Muwe tayar kuumia na kushindia michicha )
4.Kutafta wahisani ( Nafkri masharti yake mnayajua)
Ni uamzi wake sasa..
N.B: Maamuz ya kukurupuka ya Jiwe yanaumiza Taifa