Naunga hoja mkono 100/100 wapo baadhi wana agenda mbaya sana kwa mama yetuHizi kelele na miluzi mingi zitakuangusha ktk uongozi wako.
Vunja Baraza la mawaziri unda upya, hizi kelele za kina musiba kibajaji, musukuma zitaisha.
Watakuogopa.
Sasa hivi Kuna kelele nyingi wengine wanakukubali lakini lipo kundi la wachache hawakukubali kabisaaa
USIPOZIBA UFA UTAJENGA UKUTA
Uzuri ni kwamba Sukuma gang tushawajua wote nia yaoMbowe lini anavunja chadema ili aunde upya?
Mtasubiri sana sanaaaaUzuri ni kwamba Sukuma gang tushawajua wote nia yao
Tusha wanote na sasa tunawang'oa wajinga nyieMtasubiri sana sanaaaa
Na ukiajiliwa baada ya mwaka utataka mshahara wako upande,Mh Rais Samia Suluhu binadam anatabia ya kutorizika hata umpe nini, watumishi wanajipigia debe uwaongezee mishahara, madalaja, nyongeza na uwapunguzie kodi.
mimi nakuomba iyo ya kuongeza mishahara kwa watumishi wote uchakate hesabu ni shilingi ngapi itumike kutuajiri sisi ambao tumemaliza tangu 2015 tukaongeze nguvu kazi katika kuwahudumia wananchi.
Kuajiliwa Kuna mengi mambo!Daaa kweli kuna watu wana roho mbaya kweli kweli.......
Kitaba inaazungumzia kuhusu nnSwala lipo kikatiba ,pelekeni ajenda basi ya kutengua hcho kipengele,
Tatizo kubwa ndio lipo hapo.Na ukiajiliwa baada ya mwaka utataka mshahara wako upande,
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Manufaa gani ya nchi? Acha roho mbayaMod
Piga ban watu wengine kwa manufaa ya nchi
Anaelilia nyongeza na yule ambae hana kabisa nani bora kwakoTatizo kubwa ndio lipo hapo.
Yani saivi anataka kuwabania rizki wenzake ili yeye apenye aingie kwenye system halafu baada ya mda kidogo aanze na yeye kulilia ongezeko.
Kweli kila mtu atakufa kivyake asee. Maisha ni mapambano na mwamba ngozi.......
Mbona na wewe unajipigia debe muajiriwe wa 2015. je 2012, 2013, 2014, hawapaswi kuajiriwa? Au umazungumzia kada moja ya mwalimu? Na kama ni hivyo je waliosoma taaluma nyingineMh Rais Samia Suluhu binadam anatabia ya kutorizika hata umpe nini, watumishi wanajipigia debe uwaongezee mishahara, madalaja, nyongeza na uwapunguzie kodi.
mimi nakuomba iyo ya kuongeza mishahara kwa watumishi wote uchakate hesabu ni shilingi ngapi itumike kutuajiri sisi ambao tumemaliza tangu 2015 tukaongeze nguvu kazi katika kuwahudumia wananchi.
Mleta uzi ebu vaa viatu vya mwalimu wa shule ya msingi bung’wangoko ambaye hajapandishwa mshahara kwa takriban miaka6 wakati garama za maisha zinapanda kila siku, kama vinakusha!
Inategemea mkuu.Anaelilia nyongeza na yule ambae hana kabisa nani bora kwako