Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hizi kelele na miluzi mingi zitakuangusha ktk uongozi wako.
Vunja Baraza la mawaziri unda upya, hizi kelele za kina musiba kibajaji, musukuma zitaisha.
Watakuogopa.

Sasa hivi Kuna kelele nyingi wengine wanakukubali lakini lipo kundi la wachache hawakukubali kabisaaa
USIPOZIBA UFA UTAJENGA UKUTA
Naunga hoja mkono 100/100 wapo baadhi wana agenda mbaya sana kwa mama yetu
 
Mh Rais Samia Suluhu binadam anatabia ya kutorizika hata umpe nini, watumishi wanajipigia debe uwaongezee mishahara, madalaja, nyongeza na uwapunguzie kodi.

mimi nakuomba iyo ya kuongeza mishahara kwa watumishi wote uchakate hesabu ni shilingi ngapi itumike kutuajiri sisi ambao tumemaliza tangu 2015 tukaongeze nguvu kazi katika kuwahudumia wananchi.
 
Na ukiajiliwa baada ya mwaka utataka mshahara wako upande,

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo kubwa ndio lipo hapo.

Yani saivi anataka kuwabania rizki wenzake ili yeye apenye aingie kwenye system halafu baada ya mda kidogo aanze na yeye kulilia ongezeko.

Kweli kila mtu atakufa kivyake asee. Maisha ni mapambano na mwamba ngozi.......
 
Mleta uzi ebu vaa viatu vya mwalimu wa shule ya msingi bung’wangoko ambaye hajapandishwa mshahara kwa takriban miaka6 wakati garama za maisha zinapanda kila siku, kama vinakusha!
 
Mh Rais Samia Suluhu binadam anatabia ya kutorizika hata umpe nini, watumishi wanajipigia debe uwaongezee mishahara, madalaja, nyongeza na uwapunguzie kodi.

mimi nakuomba iyo ya kuongeza mishahara kwa watumishi wote uchakate hesabu ni shilingi ngapi itumike kutuajiri sisi ambao tumemaliza tangu 2015 tukaongeze nguvu kazi katika kuwahudumia wananchi.
Mbona na wewe unajipigia debe muajiriwe wa 2015. je 2012, 2013, 2014, hawapaswi kuajiriwa? Au umazungumzia kada moja ya mwalimu? Na kama ni hivyo je waliosoma taaluma nyingine
 
Na wewe umemfikiria yule ambae hana hata mdhamana? Bora huyo anakopesheka
Mleta uzi ebu vaa viatu vya mwalimu wa shule ya msingi bung’wangoko ambaye hajapandishwa mshahara kwa takriban miaka6 wakati garama za maisha zinapanda kila siku, kama vinakusha!
 
Anaelilia nyongeza na yule ambae hana kabisa nani bora kwako
Inategemea mkuu.

Ila ingebidi ufanye utafiti kwanza je kuongezea mshahara wafanyakazi waliopo kuna athiri vipi upatikanaji wa ajira kwa wasionazo?

Je njia ya kutengeneza ajira kwa wasionazo ni kutowaongezea wafanyakazi waliopo mishahara kama sheria zinavyoelekeza?
 
Back
Top Bottom