Kweli kabisa wanao mshauri wampe ushauri kuhusu hilo.Sahihi kabisa.
Mama SASHA akisema kila analosikia mtandaoni atazidi kuwaapa kichwa wanamitandao kwamba "anhaa kumbe anasoma eee" watazidi kutia maneno ya kumuumiza mama yetu...
Kwa taaarifa yako ule uvumi ameusikia nje ya mitandao, ila alipokuja kuukuta mitandaoni ndio akatoa hitimisho.Mama hakuwa na haja ya kuzungumzia kuhusu uvumi unaohusisha kifo cha Hayati JPM, vitu vingine awe anaviacha vipite kama vumi nyingine tu.
Watu wa bara mna shida na kiswahili mtu akiongea hamjui hata anamaanisha nini?Ushauri mzuri sn
We mpuuzi umelewa nini?Watu wa bara mna shida na kiswahili mtu akiongea hamjui hata anamaanisha nini?
Kwa hiyo kwa uelewa wako alikuwa akiongelea mitandao?
Sahihi kabisa.Hawezi kuacha kuingia mitandaoni maana huku ndio bunge la kweli la wananchi. Ni jinsi gani anadeal na haya mambo ya huku mitandaoni, hilo linategemea na utashi wake. Ila kwa kiongozi yoyote anayetaka kufahamu ukweli wa watu wake, kwa sasa mitandaoni ndio sehemu sahihi ya kupata ukweli huo.
We wa pwani una nn zaidi ya Kudemka?Watu wa bara mna shida na kiswahili mtu akiongea hamjui hata anamaanisha nini?
Kwa hiyo kwa uelewa wako alikuwa akiongelea mitandao?