Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Hujajua huko CCM kwamba kuna kundi la JPM na kundi la SSH??kwani yeye mwenyewe siyo ccm? siyo mataga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajua huko CCM kwamba kuna kundi la JPM na kundi la SSH??kwani yeye mwenyewe siyo ccm? siyo mataga?
Wewe ndiyo MATAGA, Hiyo lugha ya "ni kitu kimoja" ni lugha ya siasa tu. Yeye hayuko huko. Anaongea kisiasa hamuwezi kumuelewa. Angalia matendo yake upate majibu. Jipange tu umkubali maisha yaendelee. The late is gone, and will never be back.kwani yeye mwenyewe siyo ccm? siyo mataga?
Video hii hapaWabunge wa CCM wamepiga makofi leo mpaka mikono yao imebakia na malengelenge kwa ajili ya unafiki wao. Roho zimewashuka Rais SSH aliposema atakuwa akikutana na viongozi wa vyama vya kwa ajili ya mazungumzo juu ya mustakabali wa amani ya nchi yetu.View attachment 1760640
Pole sana. JPM is gone for ever.Kwa nchi za kiafrika, mwanamke kukiongoza kiti cha uraisi kwa weledi inakuwa ngumu. Kwa sababu zifuatazo,
1: Sheria za utawala ni mbovu, katiba ni duni.
2: Vitengo vya ki-usalama na nyeti vya serikali na taifa kwa asilimia kubwa vimeshikiliwa na wanaume (Jeshi, Polisi, taasisi za intelligentsia, taasisi za ujasusi, taasisi za ushushu).
3: Mihimili ya serikali (Bunge na mahakama) vimeshikiliwa na wanaume.
4: Mitazamo dume kwa wanaume (Kuwa hatuwezi kutawaliwa na mwanamke).
5: Maamuzi ya wanawake (Mfano: Mama Banda kule Malawi, ndani ya miaka miwili kaanza kusema Ziwa nyasa ni lake).
Mwisho wa siku, unakuta mwanamke kiti Cha uraisi amekalia kama pambo nchi inaongozwa na wanaume vile vile.
YaiViza[emoji26]TUANZE na wale waliotengeneza Mungu mtu wao ambaye sasa hivi anasubiri kupigiwa kura ya kuwa kiongozi wa malaika mbinguni. Hiyo kura atapata YAI.
Wala hata hajasema 6 bali ni 8. Halafu hii ni serikali ya muungano. Hivyo Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.Eti Atanunua MELI6 za.uvuvi
3 Zanzibar
3 Bara
Kwanini wazenji wasinunue zao??
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
Huta shawishika kwa kuwa maslahi yako umeona yako mashakani kwani huamini katika yale anayoamini. Ili ushauri tu,neema inakuja mtazamo wako haukuwa sahihi.Sijui Kama namchukia au nimeadhirika na muziki wa mzee baba Magufuli.
Huyu mama sijui afanye nini ili nimuelewe.
Ila poa tu ngoja tuone.
Niko njiapanda kwa kweli.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
umeandika vema sana mkuu...ili ni jambo la kuzingatia kwakweli kama kweli unaipenda nafsi yako, inakuaje mtu hajakufanyia lolote baya afu unajikuta tu eti unamchukia..huo ni ugonjwa mbaya sana wa nafsi..Kuwa na chuki binafsi na mtu hata kama hajakukosea chochote ni mwanzo wa mtu kuwa mchawi. Stage zake ni chuki, kijicho, husda na hatimae uchawi.
Kwavile tayari umeamua kumchukia tu bila sababu huwezi muelewa.
Ila ukiwauliza waandishi wa habari ambao vyombo vyao vimefunguliwa baada ya kufungiwa kiuonevu, ukiwauliza Taasisi za kiraia ambazo account zao zimefunguliwa baada ya miezi kadhaa ya kuzuiliwa wao wanamuelewa analolifanya.
Angalizo: Chuki binafsi ni moja ya magonjwa makubwa sana ya nafsi jiepushe na ujikinge na gonjwa hilo
Na yeye anatakiwa kuwa jambazi watu wajue moja vinginevyo hao majambazi wenzake watamla.Tatizo anatokea kwenye chama kile kile cha majambazi! Hivyo unastahili kabisa kutomuamini kwa 100%