Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kuna watu watakua na maisha magumu sanaPale alipomwambia Jaji Mkuu watoe hukumu za haki nilionanwabunge wa Ccm nyuso zimebadilika. Akawarudia polisi na magereza naon somo limesomeka. Ile kubambika watu kesi ina elekea mwishoni sasa.
Mungu amesikia maombi ya Watanzania.