Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Dom kuwa Jiji mbona kama mnawashwa? Dom imekosa nini ambacho kipo Mwanza, Arusha, Mbeya au Tanga?Jiji la Dodoma halina tofauti na mfano wa kumuozesha mtoto mdogo wa miaka 15, kwa mtu mzima kama mimi! Kiukweli Jiji lina changamoto nyingi, mpaka basi!
Taja Manispaa au Jiji lolote Tzn hii ukiacha Dar inazidiwa na Dom?Lile siyo jiji ni manispaa changamfu
Mpuuzi wewe, Dodoma utailinganisha hata na manispaa za Moshi na Morogoro?Taja Manispaa au Jiji lolote Tzn hii ukiacha Dar inazidiwa na Dom?
Sawa mkuu🤣🤣🤣🤣
Akikujib nitag. nadhan hajazunguka hii nchi.Mpuuzi wewe, Dodoma utailinganisha hata na manispaa za Moshi na Morogoro?
Mimi binafsi naingia kwenye ofisa unaelezwa mtangulizi wako alifanya hivi vile usibadili eti unaenzi utawala wake. Wewe je utaenziwa na nini ukiondoka?Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania...
Duu huu ni ......si ushauri ni upotoshaji after all investment, you must be crazzy.Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa..
Na wabunge wao ni wanafiki wamegonga meza hadi mikono imeota sugu.CCM walizoea kuishi kwa urongo, ufitini, uzushi, utekaji, na kejeli.
Rais Mama Samia ameyakataa mambo haya yote na hivyo kuwaweka CCM wakose ajenda dhidi ya Upinzani. Wanatakiwa kujibu hoja kwa hoja na sio kwa mapanga.
Je wataweza?
Ww ulisikia wapi mama aanze kudanganya katika mwezi huu wa Toba/Ramadhani.CCM walizoea kuishi kwa urongo, ufitini, uzushi, utekaji, na kejeli.
Rais Mama Samia ameyakataa mambo haya yote na hivyo kuwaweka CCM wakose ajenda dhidi ya Upinzani. Wanatakiwa kujibu hoja kwa hoja na sio kwa mapanga.
Je wataweza?
Tuna wabunge sio wa dunia hii, kuimba, kusimama, makofi hata sehem isiyo ya makofi,alafu ukute mpaka mda huu wameisha sahau hata hotuba yenyeweNa wabunge wao ni wanafiki wamegonga meza hadi mikono imeota sugu.
Ha ha ha hatari sanaTuna wabunge sio wa dunia hii, kuimba, kusimama, makofi hata sehem isiyo ya makofi,alafu ukute mpaka mda huu wameisha sahau hata hotuba yenyewe
MatagaCCM walizoea kuishi kwa urongo, ufitini, uzushi, utekaji, na kejeli.
Rais Mama Samia ameyakataa mambo haya yote na hivyo kuwaweka CCM wakose ajenda dhidi ya Upinzani. Wanatakiwa kujibu hoja kwa hoja na sio kwa mapanga.
Je wataweza?
Tuna wabunge sio wa dunia hii, kuimba, kusimama, makofi hata sehem isiyo ya makofi,alafu ukute mpaka mda huu wameisha sahau hata hotuba yenyewe
Yeaaap unawashwaAisee.. Mods leo mna kazi!