Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Kazi kweli kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kuwa anafile Mirembe, yupo vizuri kwenye Kudemka. Gado aje atuchoree jinsi wanavyodemka.Job ndio demka in chief
Kati ya maspika wa hovyo ndugai ni namba firstMama anacheza km pele.wajinga ndo hawatamwelewa.........na wengne hapohapo waliamka na kupiga makofi.nahisi ndungai ujumbe umemfikia ndo maana katulia km ananyolewa
Awekeze kwenye Ilimu ili vijana watakao Fuvu wakamilishe miradi hiyo na zaidi...Badala ya kufuta ingependeza zaidi kuwa simamisha miradi yote tujizatiti na hili gonjwa uwa watu kwanza.
Ujinga Gani sijui nzuri kwenye jamii:Mh Rais katka mambo ya kufanya hakikisha unafanya yafuatayo:
1. Futa wilaya ya Chato ibaki kata
2. Futa Mpango wa kuipa Chato Mkoa..