Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Wamwambie avae na barakoa pia kuchukua na tahadhari nyingine.

Wale wastaafu na mabalozi kuvaa sio wajinga, pia aelewe ukubwa wa nafasi yake kama Mkuu wa nchi tahadhari zote zichukuliwe.
 
Sasa kila mtu ni mshauri wa Rais. Smh
 
Wanawake wameanza kutunyanyasa lazima haki zetu wanaume zilindwe haiwezekani mtunyanyase kisa Rais Mwanamke hapana
 
Sasa kila mtu ni mshauri wa Rais. Smh
Malizia kuwaambia viongozi "unamlazimisha mtu kuhuzunika"

Bob Marley ,luck Dube na marasta wengine walikuwa wanakula mjani na akili walikuwa nazo sasa wewe na huyu mgambo sele mnakula majani yapi?
 
Kila mtanzania anataka kumfundisha Rais kazi ndio mana nchi hairndelei Kwa kujifanya wajuaji sana
 
Mimi nashauri aunde upya kabisa serikali yake...kwanza amwondoe katibu mkuu wa chama kuwa KMK kwa sababu ni kuingiza siasa kwenye utumishi wa umma jambo ambalo ni kinyume cha katiba.
 
Mnaendeleza uchawi wenu. Ikulu haikamatwi kwa goal la kulazimisha! Kwa uroho wa madaraka mnaenda kinyume na utamaduni wa watz wengi, eti mnafurahia msiba! Kumbe mnazidi kujichimbia kaburi.

Mmekosa wanamikakati wenye akili, chama kinaongozwa viongozi wenye historia ya uhuni na ufinyu wa akili.
 
Tunajivunia nidhamu serikali na ongezeko la ubora wa utendaji serikalini na mashirika yake mambo makubwa aliyoleta magufuli. Hata wapinzani kama lissu hawawezi kupinga hilo.

Kwa upande mwingine wapinzani wanalaumu usimamizi imara wa serikali wa magufuli kusimamia haki na sheria eti wanaita udikteta.

Samia ajue ili kwenda mbele lazima avae viatu vya magufuli vyema ili tusirudi nyuma. Kuna dalili fisadi wezi wa mali ya umma na vibaraka wa mabeberu wanafikiri kifo cha magufuli ni Mungu kalipiza kisasi kwa niaba yao kwa kile wanaona ni dhuluma wao kuondolewa kwenye nafasi ya kudhulumu umma.

Lazima Samia aendeleze kutumbua watumishi fisadi na wazembe bila hofu wala kusita. Ashirikiane vyema na wataalam wazalendo kama alivyofanya magufuli ili kulinda maslahi ya umma na taifa.

Kila la kheri samia suluhu rais wetu wa sita.
 
Back
Top Bottom