Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

yaani mama ni antisocial kabisa ufafiri wake umekuwa wa ndege hizihizi zinazopata hasara

ziara zisizo na maana ni mzigo mkubwa kwa wananchi maana msafara wako ni mkubwa Sana

kumbuka usiturudishe kuwa watembeza mabakuli wa kupokelewa kwa farasi na malikia wa uingereza huku wakikulaghai kusaini mikataba ya kilaghai

nakushauri Anza kuwa karibu na wananchi wako yaani hizo ziara agiza wengine
Pole sana kwa matusi uliyopokea humu mtu wa Mwanza na uhakika hautarudia tena kumkandia Mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo mlizoeshwa mazingaombwe ya pawa Mabula
 
yaani mama ni antisocial kabisa ufafiri wake umekuwa wa ndege hizihizi zinazopata hasara

ziara zisizo na maana ni mzigo mkubwa kwa wananchi maana msafara wako ni mkubwa Sana

kumbuka usiturudishe kuwa watembeza mabakuli wa kupokelewa kwa farasi na malikia wa uingereza huku wakikulaghai kusaini mikataba ya kilaghai

nakushauri Anza kuwa karibu na wananchi wako yaani hizo ziara agiza wengine
Acha ajenge nchi
 
Usafiri wa Ndege kwa Mh. Rais ni Bora na unaokoa fedha nyingi kuliko kama akituma gari.

Msafara wa Rais huambatana na Magari mengi ambayo huhitaji mafuta, Malipo kwa wanaokua kwenye msafara alafu unasababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa Barabara, kupoteza muda ni kwingi, na foleni zisizo na ulazima.

Safari ambayo angetumia saa moja kwa Ndege atatumia Masaa 4/5 Kwa Gari.

Jambo litakalochosha Mwili wa Mh. Rais pia muda wakufanya Majukumu mengine muhimu utapotea bila sababu za msingi.
Hajui huyo ma vieti 60 mpk 80 yanakula lita ngap dar mpk mwanza hapo kuna mapapa ndani yake ...
 
mnaleta ushabiki mbuzi mpaka ktk mambo serious ya kitaifa.
 
WEWE NI MCHOYO, UNA ROHO MBAYA NA AKILI MBOVU
Mama alikuja Mwanza kwenye sherehe ya wafanyakazi- wasi wafanyakazi sherehe hiyo haikuwahusu- uwe meuelewa.
Kwanza mkabila eti mwanza kila siku magu huku kwetu mtwara amekuja mara 2 ndani ya miaka 6 kila siku alikuwa akienda kwao utadhani anaenda kuchunga mbuzi wasukuma punguzen ukabila ndama nyie
 
Pole sana kwa matusi uliyopokea humu mtu wa Mwanza na uhakika hautarudia tena kumkandia Mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sioni kama kamponda mama nimeona amesema tu ukweli kwamba rais ni lazima awe karibu na watu wake ajue shida zao........mara moja moja atembee na gari aongee na wananchi wake bana....
 
mahusiano na kenya hayakuanza kuharibika wakati wa magufuli pekee, huko nyuma pia tumewahi kua na ugomvi nao ajili ya ushenzi wao na tamaa zao, hawa ni mafisi wajivikao ngozi ya kondoo ajili ya maslahi pekee dhidi yetu, wakenya wanajua tanzania ni fursa kubwa kiuchumi katika ukanda huu ndo maana hawaishi maigizo, hata mnaoshangilia mnaujua ukweli japo mnajifanya wanafiki na kushangilia upumbavu
Du!
 
UJENZI WA BOMBA LA GESI TOKA DAR ES SALAAM -MOMBASA KENYA
#NI JAMBO LENYE KUHITAJI UMAKINI NA UTAFITI ZAIDI KULIKO MAAMUZI YA KWENYE MAJUKWAA YA WANASIASA.

HOJA NI HII:-
sote tunaelewa kuwa Tanzania kwa miaka sita iliyopita ya awamu ya Tano chini ya jemedari mzalendo wetu Hayati Dr JPM,ilipambana kwa Hali na Mali kufufua viwanda na kutengeneza Mazingira rafiki kwa wawekezaji ili kuwezesha ujenzi wa viwanda vipya.
Hilo lilifanyika bayana bila kificho na sote tunajua mikakati iliyofanyika ikiwamo Mpango wa viwanda 100 kwa kila mkoa ambao kwa Asilimia kubwa ulifanikiwa.

Nafasi ya viwanda hivi kibiashara ndani ya soko la Africa Mashariki inakabiliwa na upinzani mkubwa toka kea viwanda vya Kenya ambavyo ni vikongwe,vyenye mitaji mikubwa na uzoefu wa soko la Africa Mashariki.pia uzoefu was uzalishaji.
Kiupekee MADHAIFU waliyonayo wakenya katika viwanda vyao ni Upungufu mkubwa wa Nishati hasa ya Umeme na Gesi ,kitu kinachopelekea Mazingira yao ya uwekezaji kuwa magumu na bidhaa zao kuwa za Bei ghali sokoni.
Tanzania tulikuwa PABAYA Sana katika sekta ya viwanda hasa Baada ya Sera ya ubinafsishaji kupita na kuleta matokeo hasi katika sekta hii.
Viwanda vingi vilikufa,na kusimamisha uzalishaji ,watu wakakosa kazi,bidhaa MADE IN TANZANIA sokoni zikawa adimu kuonekana.tukaishia kuwa walanguzi was bidhaa za Mataifa mengine ikiwamo Kenya ,China na kwingineko Duniani.
Serikali ya JPM ikaturudisha kwenye tracks na kutuwezesha kufufua brand yetu "MADE IN TANZANIA" kwa viwanda vingi kuanzishwa na vingine kufufuliwa
Pia JPM akawekeza katika Ujenzi wa Nyerere Dam,na Usambazaji wa Gesi viwandani ili kuwezesha uzalishaji nafuu wenye Tina utakaopelekea bidhaa zetu kuwa za Bei nafuu sokoni.
Suala ambalo wakenya walijua viwanda vyao,na bidhaa zao zinakwenda kupoteza soko.na kushindwa

#Leo hii ile kete ya ushindi ya Nishati ya Gesi tunaipeleka Kenya .itawafanya production cost ya bidhaa zao kuwa nafuu.na bidhaa toka kwenye viwanda vyetu vichanga zitashindwa kushindana na bidhaa za viwanda vyenye uzoefu sokoni toka Kenya.
Ila kitakachotupa ugumu huu ni Gesi yetu na umeme wetu endapo tutaupeleka huko na wao wakautumia kuzalisha bidhaa kwa gharama ya chini.
Suala Hilo litaua viwanda tunavyoanzisha.na kupoteza mwelekeo was matokeo chanya tuliyoyaona katika miaka hii sita iliyopita.

#Narejea wito wangu.suala la Gesi kupelekwa Kenya lifanyiwe Tafiti za faida na hasara zake .na isiwe political agenda ya viongozi wachache wa kisiasa.
Suala hili lihusishe wataalamu wa kitaifa na Maoni ya wadau .
"Sote tutajenga Tanzania [emoji1241] imara"
Sasa kama nyie hakuna mtu watu wenu watz, wenye mitaji,waliojitokeza kuwekeza kuchakata hiyo gesi na kufeed viwanda vyenu, basi acheni iuzwe kwa wenye uwezo ili serikali ipate pesa ya kuleta maendeleo kwa wananchi wake...simple...
 
Viongozi wenye fikra mufilisi, wenye maono na upeo mdogo juu ya masuala ya kimataifa siku zote hutafuta visingizio visivyokuwa na mashiko pale wanaposhindwa kuziona ama kutumia fursa za kiuchumi za kimataifa. Huishia tu kulalama na kutumia maneno ya kukwamishwa kimaendeleo na mabeberu na vibaraka wao.

Viongozi ama watu wenye fikra hizi bado wapo ndani ya mning'inio wa kijamaa, na kukosa kabisa uelewa wa uchumi wa soko huru uliotamalaki ulimwernguni kote. Nchi yetu inahitaji kupambana kiuchumi na wala siyo kutafuta visingizio vya kukwepa kushindana kiuchumi na nchi jirani hasa zile ambazo tunahisi zipo juu yetu.
 
Exactly,
 
Bashiru, polepole,Kessy,nkamia,bongo flavor,waunga juhudi, malaya wa kisiasa,masanja mkandamizaji,musiba, wanyonge.Hawa watu waliozoea kusafisha mikojo ya dikteta Ili kulinda tumbo wanapata tabu Sana zama hizi.
Kumi tena kwa mama.
 
Viongozi wenye fikra mufilisi, wenye maono na upeo mdogo juu ya masuala ya kimataifa siku zote hutafuta visingizio visivyokuwa na mashiko pale wanaposhindwa kuziona ama kutumia fursa za kiuchumi za kimataifa. Huishia tu kulalama na kutumia maneno ya kukwamishwa kimaendeleo na mabeberu na vibaraka wao.

Viongozi ama watu wenye fikra hizi bado wapo ndani ya mning'inio wa kijamaa, na kukosa kabisa uelewa wa uchumi wa soko huru uliotamalaki ulimwernguni kote. Nchi yetu inahitaji kupambana kiuchumi na wala siyo kutafuta visingizio vya kukwepa kushindana kiuchumi na nchi jirani hasa zile ambazo tunahisi zipo juu yetu.
True tusiwape tena nafasi hawa wajamaa wenye mtindio wa kufiri kurudi nyuma.
 
yaani mama ni antisocial kabisa ufafiri wake umekuwa wa ndege hizihizi zinazopata hasara

ziara zisizo na maana ni mzigo mkubwa kwa wananchi maana msafara wako ni mkubwa Sana

kumbuka usiturudishe kuwa watembeza mabakuli wa kupokelewa kwa farasi na malikia wa uingereza huku wakikulaghai kusaini mikataba ya kilaghai

nakushauri Anza kuwa karibu na wananchi wako yaani hizo ziara agiza wengine
We veronica france kweli hamnazo yaani unamshauri mama aanze maigizo ya jiwe na kuleta hasara kwa kutumia ma viiieeeiiiteee,

Hahaha subilini parapanda ipige afufuke muendeleze drama zenu.
 
Back
Top Bottom