Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna baadhi ya taasisi wanaachiana tu kiurafikiMama, asilimia kubwa ya chakula cha mmea utafutwa na mizizi. Mti ukiwa na mizizi dhaifu hukosa ustawi na kupelekea kutoa zao dhaifu.
Vivyo ivyo kwa uwongozi wa nchi; kama ubora wa viongozi wa chini ni mdogo, utendaji wa kiongozi wa juu (Rais) na usitawi wake huwa dhaifu.
Bila shaka tunatambuwa hali ilivyokuwa maofisini mwetu, teuzi za wakuu wa idara/Taasisi/vitengo ulivyofanyika. Sehemu kubwa haukuzingatia weledi wa mteuliwa katika kutimiza majukumu yake kisheria.
Hata hapakuangaliwa historia ya mahusiano ya mteuliwa na watumishi kazini. Ni Kamavile UTUMISHI walikuwa wanapelekewa majina ya watu na kulazimishwa kuwaandikia barua ya uteuzi.
Kuna wakuu wa Idara wao ndo kila kitu (mhasibu, mkaguzi wa ndani, afisa mipango, Mtawala n.k).
Kuna wale wanaofanya Kitengo/Taasisi/Idara kama mali ya familia/kabila/mkoa/Kanda. Hawa ni wengi mnoo na pasipochukuliwa hatua mahususi, hali itakuwa sio hali.
Hali hiyo inapelekea kutengwa baadhi ya wafanyakazi na kusingiziwa mengi, matumizi mabaya ya fedha zinazo wanufaisha wachache sehemu husika na kutokuwa na ustawi sehemu ya kazi.
Pia, hali hii ya kubebana inapelekea watu kufanya kazi nje ya taaluma zao na kuharibu kazi
Mama, angalia haya katika Mawizara yetu kama TAMISEMI,NISHATI, AFYA nk, Taasisi zetu kama TANESCO REA, TANROADS n.k.
Naomba Mwenyezimungu akulinde na akuongoze.
Limeingia iloooHata ulichokiandika sidhani kama unakielewa wewe mwenyewe.
mtoto wa darasa la pili huyu hapa haha ha ha! Yaani wewe unamuona Magufuli tu wakati ku promote watu kunafanywa na watendaji wa eneo husika. Hii ni Kansa ya Nchi nzima ya miaka na miaka. Nakumbuka miaka ya 2007 watu walikuwa wakitaka U DAS tu ukiwa na hela unaupata kiufi unanunua au connection.Kweli kabisa. Mwendazake alikuwa anapachika watu kwenye mashirika, idara na vitengo kwa mihemko.
Daah! Kazi tunayo.Hii ni Kansa ya Nchi nzima ya miaka na miaka
nadhani alikuwa achagua watu kwa interest zake. na si kwa qualification.Kweli kabisa. Mwendazake alikuwa anapachika watu kwenye mashirika, idara na vitengo kwa mihemko.
Kila mtu avune apandacho!
Huuu ni Upumbavuh mpya . Sasa kila jambo ni kufunika kuwa anahujumiwa. So ni weak?Habari za wakati huu ndugu zangu.!
Kuna mambo kama siyaelewi kusema ukweli. Toka kifo cha Mwenda zake kuna mambo yanaendelea sielewi yaani sijui ni nini hii ??
Baada ya kifo cha mzee haya mambo yameanza kujitokeza
1. Umeme kukatika katika ovyo
2. Matukio ya kiharifu yameanza kujitokeza.
Swali langu dogo tu, Kwani ni kipi kimebadilika kiasi kwamba haya matukio yaanze kujirudia rudia tena. Ndio mkuu wetu Mama yetu amebadilisha baadhi ya viongozi lakini sehemu kubwa ya uongozi wa Meko upo kazini hadi leo alipobadilisha Mama SSH ni sehemu ndogo mnoo. Ndio naona kama kuna mchezo mchafu unafanywa na watu ili kuonyesha mama hafanyi kazi ili hali mama anafanya kazi hata zaidi ya vile watu walitegemea.
Majambazi wa kuteka mabasi na kuvua abiria nguo na kuiba fedhaMara luku zinagoma kutoa token aiseeee majitu noma sana .
Huuu ni Upumbavuh mpya . Sasa kila jambo ni kufunika kuwa anahujumiwa. So ni weak?