Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Miongoni mwa matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji makubwa wa fedha tangu SSH aingie madarakani ni pamoja na matumizi yaliyokithiri ya madege ya ATCL.

Najua wapo wanaosema ni bora ayatumie kuliko kuyapaki!

Sawa kupinga. Lakini Naomba kupewa sababu zozote za kiuchumi ni kwanini aendekeze matumizi ya madege ya ATCL. Ndege ya Rais ile ya Jamhuri ya Muungano ipo wapi?

NB: Suala lingine la kupunguza ni kuongea ongea sana tena off script! Na mauzinduzi ambayo PM, VPO, PS na Waziri wanaweza kufanya!

Anajichimbia mashimo yatakayomtega!
 
Miongoni mwa matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji makubwa wa fedha tangu SSH aingie madarakani ni pamoja na matumizi yaliyokithiri ya madege ya ATCL.
Najua wapo wanaosema ni bora ayatumie kuliko kuyapaki! Naomba kupewa sababu zozote za kiuchumi ni kwanini aendekeze matumizi ya madege ya ATCL.
Ndege ya Rais ile ya Jamhuri ya Muungano ipo wapi?

NB: Suala lingine la kupunguza ni kuongea ongea sana tena off script! Na mauzinduzi ambayo PM, VPO, PS na Waziri wanaweza kufanya!
Angekuwa huyo Rais ni Mama yako mzazi ungeongea haya

Au Mkuki kwa nguruwe
 
kama huelewi uzima wa ndege ni kuruka na kutua,bro ndege ukiiweka parking kwa muda wa mwezi tu basi inakuwa hatarishi na kama umeiweka kwenye njia ya kukata roho,ulizia hilo,ndio ukaona hii covid mashirika ya ndege yanapata hasara moja ya sababishi ya hasara hio ni lazima ndege irushwe hata kama haina abiria ipige misere angani halafu itue.
 
Miongoni mwa matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji makubwa wa fedha tangu SSH aingie madarakani ni pamoja na matumizi yaliyokithiri ya madege ya ATCL...
Kwahiyo mkuu yeye na watu wake wote unadhani hawajui kuwa Rais ana ndege yake ila wewe tu ndio umeona?

Lazima sababu ipo na ungejikita kuijua kwanza badala ya kuanza kupinga solution wanayotumia wao dhidi ya utaratibu wa kawaida.
 
Kwahiyo mkuu yeye na watu wake wote unadhani hawajui kuwa Rais ana ndege yake ila wewe tu ndio umeona?!?
Lazima sababu ipo na ungejikita kuijua kwanza badala ya kuanza kupinga solution wanayotumia wao dhidi ya utaratibu wa kawaida.
Kwa hiyo hizo ndege zilikuja kwa ajili ya kuruka na kutua??
Je, ATCL inalipwa stahiki zake?
Kesho na keshokutwa CAG akisoma ripoti msikatae
 
Atumie Fekon au vespa atuungishe sisi wa boda boda🤣🐒🤸
 
Kwa hiyo hizo ndege zilikuja kwa ajili ya kuruka na kutua??
Je, ATCL inalipwa stahiki zake?
Kesho na keshokutwa CAG akisoma ripoti msikatae
Enzi za mwendazake zilikuwa zinampeleka Chato kwa mama, zinamsubiri amalize mapumziko na kumrudisha Dodoma, hizi kelele hazikusikika...

Kwa mama imekuwa nongwa? Ingempeleka Unguja kwenye mapumziko si ndo ingekuwa balaa zaidi?
 
Kwa hiyo hizo ndege zilikuja kwa ajili ya kuruka na kutua??
Je, ATCL inalipwa stahiki zake?
Kesho na keshokutwa CAG akisoma ripoti msikatae
Umeshajua kwanza sababu kwanini hatumii? Iweke hapa kwanza tuanzie hapo.
 
Service ya ndege huwa inafanywa kwa masaa au idadi ya siku fulani which ever comes first...ipae au ikae gharama za service zipo palepale, utakachoepuka ni wear and tear pamoja na repair cost incase ikapata breakdowm inaporun

Kwa safari inazofanya sasa ni kama warm-up tu maana ni kama kila mwezi inasafiri mara moja....mfano ikirudi kutoka Mwanza itamsubiri mama tena apate safari nyingine ndio iruke.

CAG alionya juu ya ununuzi wa ndege bila business plan na kuwa na watu wenye akili na exposure ya hizi biashara......tayari gap linaonekana hapa kwa watu wetu kushindwa kufikiri nini wafanye sasa ndege zetu angalau ziruke kibiashara.

Either baadhi zifunguliwe seat ziwe cargo au kuziunganisha na watu wetu wa Posta kubeba vifurushi nk.....Baadhi ya ndege za KQ na ethiopian zimebadirishiwa matumizi na kuwa Cargo kipindi hiki cha Covid.

Bado zipo option za kuzikodisha kwa mashirika makubwa yenye experience na biashara na ambayo hata kupindi hiki cha Covid yabapiga mzigo.
 
Miongoni mwa matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji makubwa wa fedha tangu SSH aingie madarakani ni pamoja na matumizi yaliyokithiri ya madege ya ATCL....
What if atcl benefits Kwa kulipwa gharama za kukodishwa?
 
Back
Top Bottom