careenjibebe
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,604
- 1,652
Watumishi hawayasemi haya! Tunalalamika nao tu huku nje si ambao hatujaajiriwa..tunasema maisha yanapanda..mafuta ya kula yamepanda mafuta ya gar yamepanda mkaa pia umepanda..kumbe wenzetu wanakula nema kimyakimya?Habari ya sabasaba wanajamii!
Moja kwa moja kwenye mada. Kwa mambo aliyoyafanya mama kwa watumishi ndani ya muda mfupi mfano:
1. Kaanza kulipa malimbikizo ya muda mrefu...