Mbuli yaza
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 711
- 683
Siyo rais tu.na hao wengine wote hata askari anapotekeleza majukumu yake eti akikoroga hapaswi kushitakiwa hii itakuwa nchi ya ajabu sana.Pamoja na hayo poa raisi aondolewe kinga ya kushtakiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo rais tu.na hao wengine wote hata askari anapotekeleza majukumu yake eti akikoroga hapaswi kushitakiwa hii itakuwa nchi ya ajabu sana.Pamoja na hayo poa raisi aondolewe kinga ya kushtakiwa
Katika kufikia hayo yote, bandari zote za maziwa na bahari zimeenda.
Ngorongoro imeenda, hifadhi za taifa vitaru vyake vimeenda, kule mbarali ihefu imeenda, migodi ya madini imeenda, gesi ime
Kama kila kitu kiko sawa hapa Kariakoo, nini kilitukutanisha wafanyabiashara na Waziri Mkuu?Unajua baadhi ya watanzania ni wavivu sana wa kufikiri au wasahaulifu au ni seme wanafiki.
Mimi sio mwanasiasa, sihusiki kwenye siasa na wala sifahamiki kwenye siasa ila Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!
- Miaka michache iliyopita wafanya Biashara walikuwa wanalia kila kona mambo hayaendi; leo wanaendesha biashara zao bila pressure kubwa ila watu wamesha sahau
- Miradi mikubwa ilikuwa inafanyika ila kwa pressure kubwa hadi baadhi ya wafanyabiashara wakafunga Biashara na wengine kufirisika kabisa; Leo hii miradi mikubwa inaendelea kimya kimya bila kukimbizana barabarani; ila watu wamesha sahau
- Pamoja na miradi mikubwa aliyo achiwa ambayo anaiendeleza kwa kasi; bado ameweza kuja na miradi mingine kama ya maji, umeme, madawati, nk. watu wamesha sahau
- Mambo ya kukosa haki na kesi mahakamani ame ya angalia sana ikiwa ni pamoja na kuunda jopo la kuangalia watu waliofungwa kwa kuonewa; watu wamesha sahau
- Wapinzani walinyimwa nafasi kabisa ya kutangaza sera zao na baadhi kujiona hawapo salama ndani ya Nchi yao mama akatoa suluhu; ila sasa watu wamesha sahau
- Hivi huwezi kujiuliza; kama ameweza kuendeleza miradi mikubwa aliyo achiwa na akaweza kuja na miradi mipya tena bila kukimbizana barabarani kudai Kodi; Hatuoni kwamba anayo nafasi ya kufanya mengi (miracles) baada ya hayo mamiradi kuisha?
- Najua kuna changamoto kwenye mkataba wa Bandari lakini; tusijifanye wajinga wa kufikiri kuwa, mtu akikosea swali moja kwenye mtihani basi amefeli wakati swali lenyewe lina nafasi ya kufanya correction
Akikujibu nitag brotherKatika kufikia hayo yote, bandari zote za maziwa na bahari zimeenda.
Ngorongoro imeenda, hifadhi za taifa vitaru vyake vimeenda, kule mbarali ihefu imeenda, migodi ya madini imeenda, gesi imeenda.
usilete porojo za kijiweni hapa mnazodanganyana kwa uvivu wa kusoma au kutafuta habari.Katika kufikia hayo yote, bandari zote za maziwa na bahari zimeenda.
Ngorongoro imeenda, hifadhi za taifa vitaru vyake vimeenda, kule mbarali ihefu imeenda, migodi ya madini imeenda, gesi imeenda.
Mnafanya watanganyika mazezeta?Unajua baadhi ya watanzania ni wavivu sana wa kufikiri au wasahaulifu au ni seme wanafiki.
Mimi sio mwanasiasa, sihusiki kwenye siasa na wala sifahamiki kwenye siasa ila Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!
- Miaka michache iliyopita wafanya Biashara walikuwa wanalia kila kona mambo hayaendi; leo wanaendesha biashara zao bila pressure kubwa ila watu wamesha sahau
- Miradi mikubwa ilikuwa inafanyika ila kwa pressure kubwa hadi baadhi ya wafanyabiashara wakafunga Biashara na wengine kufirisika kabisa; Leo hii miradi mikubwa inaendelea kimya kimya bila kukimbizana barabarani; ila watu wamesha sahau
- Pamoja na miradi mikubwa aliyo achiwa ambayo anaiendeleza kwa kasi; bado ameweza kuja na miradi mingine kama ya maji, umeme, madawati, nk. watu wamesha sahau
- Mambo ya kukosa haki na kesi mahakamani ame ya angalia sana ikiwa ni pamoja na kuunda jopo la kuangalia watu waliofungwa kwa kuonewa; watu wamesha sahau
- Wapinzani walinyimwa nafasi kabisa ya kutangaza sera zao na baadhi kujiona hawapo salama ndani ya Nchi yao mama akatoa suluhu; ila sasa watu wamesha sahau
- Hivi huwezi kujiuliza; kama ameweza kuendeleza miradi mikubwa aliyo achiwa na akaweza kuja na miradi mipya tena bila kukimbizana barabarani kudai Kodi; Hatuoni kwamba anayo nafasi ya kufanya mengi (miracles) baada ya hayo mamiradi kuisha?
- Najua kuna changamoto kwenye mkataba wa Bandari lakini; tusijifanye wajinga wa kufikiri kuwa, mtu akikosea swali moja kwenye mtihani basi amefeli wakati swali lenyewe lina nafasi ya kufanya correction
Pesa ya mwarabu utaitapika tu, hakuna kuuzwa BandariUnajua baadhi ya watanzania ni wanafiki wakubwa au wavivu wa kufikiri au niseme wanajisahaulisha..
Mimi sio mwanasiasa, sihusiki kwenye siasa na wala sifahamiki kwenye siasa ila Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!
- Miaka michache iliyopita wafanya Biashara walikuwa wanalia kila kona mambo hayaendi; leo wanaendesha biashara zao bila pressure kubwa ila watu wamesha sahau
- Miradi mikubwa ilikuwa inafanyika ila kwa pressure kubwa hadi baadhi ya wafanyabiashara wakafunga Biashara na wengine kufirisika kabisa; Leo hii miradi mikubwa inaendelea kimya kimya bila kukimbizana barabarani; ila watu wamesha sahau
- Pamoja na miradi mikubwa aliyo achiwa ambayo anaiendeleza kwa kasi; bado ameweza kuja na miradi mingine kama ya maji, umeme, madawati, nk. watu wamesha sahau
- Mambo ya kukosa haki na kesi mahakamani ame ya angalia sana ikiwa ni pamoja na kuunda jopo la kuangalia watu waliofungwa kwa kuonewa; watu wamesha sahau
- Wapinzani walinyimwa nafasi kabisa ya kutangaza sera zao na baadhi kujiona hawapo salama ndani ya Nchi yao mama akatoa suluhu; ila sasa watu wamesha sahau
- Hivi huwezi kujiuliza; kama ameweza kuendeleza miradi mikubwa aliyo achiwa na akaweza kuja na miradi mipya tena bila kukimbizana barabarani kudai Kodi; Hatuoni kwamba anayo nafasi ya kufanya mengi (miracles) baada ya hayo mamiradi kuisha?
- Najua kuna changamoto kwenye mkataba wa Bandari lakini; tusijifanye wajinga wa kufikiri kuwa, mtu akikosea swali moja kwenye mtihani wa hesabu basi amefeli wakati hata swali alilokosea lina nafasi ya kufanya marekebisho
Watz wengi wasahaulifu sanaUnajua baadhi ya watanzania ni wanafiki wakubwa au wavivu wa kufikiri au niseme wanajisahaulisha..

Na waliotaka kujitenga na Tanganyika na waliokuwa na chuki dhidi ya Tanganyika yupo huyo huyo, kama alivyokuwa bosi wake na Mentor wake mkuu Amana Karume.usilete porojo za kijiweni hapa mnazodanganyana kwa uvivu wa kusoma au kutafuta habari.
Leta ushahidi wa angau vitu viwili kati ya ulivyotaja