Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Unajua baadhi ya watanzania ni wanafiki wakubwa au wavivu wa kufikiri au niseme wanajisahaulisha..
  • Miaka michache iliyopita wafanya Biashara walikuwa wanalia kila kona mambo hayaendi; leo wanaendesha biashara zao bila pressure kubwa; muda mfupi umepita, watu wamesha sahau
  • Miradi mikubwa ilikuwa inafanyika ila kwa pressure kubwa hadi baadhi ya wafanyabiashara wakafunga Biashara na wengine kufirisika kabisa; Leo hii miradi mikubwa inaendelea kimya kimya bila kukimbizana barabarani; ila watu wameshasahau
  • Pamoja na miradi mikubwa aliyo achiwa ambayo anaiendeleza kwa kasi; bado ameweza kuja na miradi mingine kama ya maji, umeme, madawati, nk. watu wamesha sahau
  • Mambo ya kukosa haki na kesi mahakamani ame ya angalia sana ikiwa ni pamoja na kuunda jopo la wanasheria kuangalia watu waliofungwa kwa kuonewa; watu wamesha sahau
  • Wapinzani walinyimwa nafasi kabisa ya kutangaza sera zao na baadhi kujiona hawapo salama ndani ya Nchi yao mama akatoa suluhu; ila sasa watu wamesha sahau
  • Hivi huwezi kujiuliza; kama ameweza kuendeleza miradi mikubwa aliyo achiwa na akaweza kuja na miradi mipya tena bila kukimbizana barabarani kudai Kodi; Hatuoni kwamba anayo nafasi ya kufanya mengi (miracles) baada ya hayo mamiradi kuisha?
  • Najua kuna changamoto kwenye mkataba wa Bandari lakini; tusijifanye wajinga wa kufikiri kuwa, mtu akikosea swali moja kwenye mtihani wa hesabu basi amefeli wakati hata swali alilokosea lina nafasi ya kufanyiwa marekebisho
KUMBUKA; MTU MNAFIKI HANATOFAUTI NA MCHAWI!
Mimi sio mwanasiasa, sihusiki kwenye siasa na wala sifahamiki kwenye siasa lakini Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!
 
Katika kufikia hayo yote, bandari zote za maziwa na bahari zimeenda.

Ngorongoro imeenda, hifadhi za taifa vitaru vyake vimeenda, kule mbarali ihefu imeenda, migodi ya madini imeenda, gesi ime
Unajua baadhi ya watanzania ni wavivu sana wa kufikiri au wasahaulifu au ni seme wanafiki.
  • Miaka michache iliyopita wafanya Biashara walikuwa wanalia kila kona mambo hayaendi; leo wanaendesha biashara zao bila pressure kubwa ila watu wamesha sahau
  • Miradi mikubwa ilikuwa inafanyika ila kwa pressure kubwa hadi baadhi ya wafanyabiashara wakafunga Biashara na wengine kufirisika kabisa; Leo hii miradi mikubwa inaendelea kimya kimya bila kukimbizana barabarani; ila watu wamesha sahau
  • Pamoja na miradi mikubwa aliyo achiwa ambayo anaiendeleza kwa kasi; bado ameweza kuja na miradi mingine kama ya maji, umeme, madawati, nk. watu wamesha sahau
  • Mambo ya kukosa haki na kesi mahakamani ame ya angalia sana ikiwa ni pamoja na kuunda jopo la kuangalia watu waliofungwa kwa kuonewa; watu wamesha sahau
  • Wapinzani walinyimwa nafasi kabisa ya kutangaza sera zao na baadhi kujiona hawapo salama ndani ya Nchi yao mama akatoa suluhu; ila sasa watu wamesha sahau
  • Hivi huwezi kujiuliza; kama ameweza kuendeleza miradi mikubwa aliyo achiwa na akaweza kuja na miradi mipya tena bila kukimbizana barabarani kudai Kodi; Hatuoni kwamba anayo nafasi ya kufanya mengi (miracles) baada ya hayo mamiradi kuisha?
  • Najua kuna changamoto kwenye mkataba wa Bandari lakini; tusijifanye wajinga wa kufikiri kuwa, mtu akikosea swali moja kwenye mtihani basi amefeli wakati swali lenyewe lina nafasi ya kufanya correction
Mimi sio mwanasiasa, sihusiki kwenye siasa na wala sifahamiki kwenye siasa ila Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!
Kama kila kitu kiko sawa hapa Kariakoo, nini kilitukutanisha wafanyabiashara na Waziri Mkuu?
 
Ni kweli na watanganyika wanachoitaji ni marekebisho ya ayo makosa nasi vinginevyo Mana ilo kosa moja litaigharimu taifa kwa vizazi na vizazi.

Kama anao uwezo wa kuvilekebisha hivyo baadhi ya vipengele yeye avilekebishe na asonge mbele
 
Katika kufikia hayo yote, bandari zote za maziwa na bahari zimeenda.

Ngorongoro imeenda, hifadhi za taifa vitaru vyake vimeenda, kule mbarali ihefu imeenda, migodi ya madini imeenda, gesi imeenda.
usilete porojo za kijiweni hapa mnazodanganyana kwa uvivu wa kusoma au kutafuta habari.
Leta ushahidi wa angau vitu viwili kati ya ulivyotaja
 
Unajua baadhi ya watanzania ni wavivu sana wa kufikiri au wasahaulifu au ni seme wanafiki.
  • Miaka michache iliyopita wafanya Biashara walikuwa wanalia kila kona mambo hayaendi; leo wanaendesha biashara zao bila pressure kubwa ila watu wamesha sahau
  • Miradi mikubwa ilikuwa inafanyika ila kwa pressure kubwa hadi baadhi ya wafanyabiashara wakafunga Biashara na wengine kufirisika kabisa; Leo hii miradi mikubwa inaendelea kimya kimya bila kukimbizana barabarani; ila watu wamesha sahau
  • Pamoja na miradi mikubwa aliyo achiwa ambayo anaiendeleza kwa kasi; bado ameweza kuja na miradi mingine kama ya maji, umeme, madawati, nk. watu wamesha sahau
  • Mambo ya kukosa haki na kesi mahakamani ame ya angalia sana ikiwa ni pamoja na kuunda jopo la kuangalia watu waliofungwa kwa kuonewa; watu wamesha sahau
  • Wapinzani walinyimwa nafasi kabisa ya kutangaza sera zao na baadhi kujiona hawapo salama ndani ya Nchi yao mama akatoa suluhu; ila sasa watu wamesha sahau
  • Hivi huwezi kujiuliza; kama ameweza kuendeleza miradi mikubwa aliyo achiwa na akaweza kuja na miradi mipya tena bila kukimbizana barabarani kudai Kodi; Hatuoni kwamba anayo nafasi ya kufanya mengi (miracles) baada ya hayo mamiradi kuisha?
  • Najua kuna changamoto kwenye mkataba wa Bandari lakini; tusijifanye wajinga wa kufikiri kuwa, mtu akikosea swali moja kwenye mtihani basi amefeli wakati swali lenyewe lina nafasi ya kufanya correction
Mimi sio mwanasiasa, sihusiki kwenye siasa na wala sifahamiki kwenye siasa ila Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!
Mnafanya watanganyika mazezeta?
Unapata Division 4 unateuliwa kuwa waziri😳
 
Attachments

  • IMG_1355.MP4
    11.3 MB
  • IMG_0804.MP4
    5.4 MB
  • EDCBD959-5A65-4A59-ACF0-F310DC5255EE.jpeg
    EDCBD959-5A65-4A59-ACF0-F310DC5255EE.jpeg
    51.3 KB · Views: 8
  • 036FF083-F976-4C29-A24D-843CF8C0FAE8.jpeg
    036FF083-F976-4C29-A24D-843CF8C0FAE8.jpeg
    140.9 KB · Views: 9
  • 43D2DE56-1372-4C3D-B3EE-6C85540A125F.jpeg
    43D2DE56-1372-4C3D-B3EE-6C85540A125F.jpeg
    32 KB · Views: 7
  • 6879665D-0E86-4595-B470-C0B7AE4B75D9.jpeg
    6879665D-0E86-4595-B470-C0B7AE4B75D9.jpeg
    55.3 KB · Views: 9
  • D6E9A1AD-66DE-4C47-937F-6D6367B0DBF6.jpeg
    D6E9A1AD-66DE-4C47-937F-6D6367B0DBF6.jpeg
    131.1 KB · Views: 10
  • B34EEA37-72C9-4B3D-8912-A3375FCA17AA.jpeg
    B34EEA37-72C9-4B3D-8912-A3375FCA17AA.jpeg
    75.7 KB · Views: 10
  • 78984A19-AE99-45A4-82BC-C7089F3A1632.jpeg
    78984A19-AE99-45A4-82BC-C7089F3A1632.jpeg
    150.5 KB · Views: 12
  • 22DD511B-15DC-41A3-A5BC-BB991819B431.jpeg
    22DD511B-15DC-41A3-A5BC-BB991819B431.jpeg
    55.1 KB · Views: 8
  • 271B5DEB-F365-4293-8550-4566066E31DF.jpeg
    271B5DEB-F365-4293-8550-4566066E31DF.jpeg
    115.5 KB · Views: 13
  • DB7B769B-5D73-46AD-AC51-C6E61A186565.jpeg
    DB7B769B-5D73-46AD-AC51-C6E61A186565.jpeg
    66.2 KB · Views: 9
  • C2F2276A-D2CF-4BE7-B648-32EBDE8829F0.jpeg
    C2F2276A-D2CF-4BE7-B648-32EBDE8829F0.jpeg
    23.3 KB · Views: 10
  • C6CD9C9E-4DD9-4E37-8F52-A064CAF7CD87.jpeg
    C6CD9C9E-4DD9-4E37-8F52-A064CAF7CD87.jpeg
    41 KB · Views: 6
  • 1F43809B-D413-4477-B1E0-60780B824A8D.jpeg
    1F43809B-D413-4477-B1E0-60780B824A8D.jpeg
    127.7 KB · Views: 10
  • 7967B365-2083-4717-AAF0-380327F84314.jpeg
    7967B365-2083-4717-AAF0-380327F84314.jpeg
    9.9 KB · Views: 7
  • 74867E38-FB37-4486-9AF9-3C802BD3D7F8.jpeg
    74867E38-FB37-4486-9AF9-3C802BD3D7F8.jpeg
    62 KB · Views: 9
  • 44CA8793-54DB-4B80-9DA0-EE20A18C5549.jpeg
    44CA8793-54DB-4B80-9DA0-EE20A18C5549.jpeg
    58.4 KB · Views: 9
  • E29A9C34-ACE6-4AB0-8AF0-44A7194ED7DE.jpeg
    E29A9C34-ACE6-4AB0-8AF0-44A7194ED7DE.jpeg
    62 KB · Views: 8
  • E6D768B2-16C9-494D-8049-0C5B7D0203B8.jpeg
    E6D768B2-16C9-494D-8049-0C5B7D0203B8.jpeg
    55.5 KB · Views: 8
  • 27885174-CF07-4E14-A461-F188D0E36E67.jpeg
    27885174-CF07-4E14-A461-F188D0E36E67.jpeg
    71.8 KB · Views: 9
  • 6BB96C58-1F31-4F13-B9FD-CFC28B9F540F.jpeg
    6BB96C58-1F31-4F13-B9FD-CFC28B9F540F.jpeg
    115.9 KB · Views: 9
  • AA1B71F8-1F83-420B-96D3-92038D8C48C7.jpeg
    AA1B71F8-1F83-420B-96D3-92038D8C48C7.jpeg
    4.3 KB · Views: 10
Unajua baadhi ya watanzania ni wanafiki wakubwa au wavivu wa kufikiri au niseme wanajisahaulisha..
  • Miaka michache iliyopita wafanya Biashara walikuwa wanalia kila kona mambo hayaendi; leo wanaendesha biashara zao bila pressure kubwa ila watu wamesha sahau
  • Miradi mikubwa ilikuwa inafanyika ila kwa pressure kubwa hadi baadhi ya wafanyabiashara wakafunga Biashara na wengine kufirisika kabisa; Leo hii miradi mikubwa inaendelea kimya kimya bila kukimbizana barabarani; ila watu wamesha sahau
  • Pamoja na miradi mikubwa aliyo achiwa ambayo anaiendeleza kwa kasi; bado ameweza kuja na miradi mingine kama ya maji, umeme, madawati, nk. watu wamesha sahau
  • Mambo ya kukosa haki na kesi mahakamani ame ya angalia sana ikiwa ni pamoja na kuunda jopo la kuangalia watu waliofungwa kwa kuonewa; watu wamesha sahau
  • Wapinzani walinyimwa nafasi kabisa ya kutangaza sera zao na baadhi kujiona hawapo salama ndani ya Nchi yao mama akatoa suluhu; ila sasa watu wamesha sahau
  • Hivi huwezi kujiuliza; kama ameweza kuendeleza miradi mikubwa aliyo achiwa na akaweza kuja na miradi mipya tena bila kukimbizana barabarani kudai Kodi; Hatuoni kwamba anayo nafasi ya kufanya mengi (miracles) baada ya hayo mamiradi kuisha?
  • Najua kuna changamoto kwenye mkataba wa Bandari lakini; tusijifanye wajinga wa kufikiri kuwa, mtu akikosea swali moja kwenye mtihani wa hesabu basi amefeli wakati hata swali alilokosea lina nafasi ya kufanya marekebisho
Mimi sio mwanasiasa, sihusiki kwenye siasa na wala sifahamiki kwenye siasa ila Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!
Pesa ya mwarabu utaitapika tu, hakuna kuuzwa Bandari
 
Watz wengi wasahaulifu sana
 
Ignorance overtakes you iyo yote miladi nikodi za wananchi we mpumbavu siwezi kubishan na ww mhan unakopi 2 km wenzko mladi wa DP tokaaa
 
usilete porojo za kijiweni hapa mnazodanganyana kwa uvivu wa kusoma au kutafuta habari.
Leta ushahidi wa angau vitu viwili kati ya ulivyotaja
Na waliotaka kujitenga na Tanganyika na waliokuwa na chuki dhidi ya Tanganyika yupo huyo huyo, kama alivyokuwa bosi wake na Mentor wake mkuu Amana Karume.
Yaani huyooooooo, ndio huyo uliemfikiri na wewe!. Sema hamumjui tu
Mmeingia cha kike Tanganyika
 
Jambo MAMA;
Wakati mwingine huwezi jua uchafu wa maji yenye lime mpaka uweke kijiko ukologe, umefanya jambo la hekima sana kukologa glasi kwa hili sakata la bandari ili ujue majii yana taka au la. Sitaki kuzungumzia kishabiki hili, try and error ni sehemu ya maisha ya mwanadamu kwa maana hatujajaliwa kujua hata ya sekunde moja ijayo, hata Baba wa Taifa alikuwa akilifanya makosa kwa namana fulani " alipomwambia Kawawa afunge maduka yababki ya vijiji" kelele zilizopigwa ziliahilisha wazo lake na likalekebishwa. Unaweza kuwa na wazo zuri tu lakini je wale unaowawazia hayo mema wanayapokeaje?
Nimebahatika kuishi kwa awamu zote za uongozi wetu kila kiongozii alikuwa na mazuri yake na madhaifu yake, na wakati mwingine madhaifu ya wakati huo yanaweza yakaonekana strengths kwa wakati wa mbeleni na strength za wakati huo zikaonekana yalikuwa madhaifu baadae mfano haikuwa na ulazima sana wa kujiingiza vita ya Uganda ambayo ilisababisha mseleleko hasi wa uchumi wetu hadi leo hii, uongozi unahitaji hekima sana na kusikiliza ile sauti ya ndani ambayo tunasema ni sauti ya Mungu, na Mungu kwa kawaida haleti sauti ya kukunong'oneza kuamua yale yatakayo waumiza Taifa.
kwa miaka hii miwili uliyoongoza naomba niungane na Rais KiKwete kwamba nuru yako ya uongozi ilionekana toka mbali, uongozi si kiwango cha elimu au mwonekano bali ni kipaji toka kwa Mungu na Mungu ndiye huyaongoza yote hayo kukufikisha kunako nafasi anayoitaka yeye.
Baada ya sakata hili yako mambo yameibuka ambayo naomba usiyafumbie macho yape nafasi tena ya kufaa yanaashilia hatari mbele.
1. tusikimbilie kwenye uchaguzi wa 2025 utaumiza wengi, na unaweza kuleta maafa.
2. kelele za uzanzibari na utanganyika zimeibuka upya na baadhi ya wazanzibari wameanza kusema Muungano ufe tugawane mbao, inawezekana ipo hoja msingi, haijaanzaa leo imeanza toka 1971 zaidi ya miaka 50 wakati wa ADUL JUMBE mpaka leo hajijaisha zinalala zinaamka, fanya Historia, historia si lazima iwe nzuri tu hata Gobachev alisifiwa na mataifa ya magharibi kwa kuvunja muungano wa soviet lakini hakujua kama ushikamano uliokuwepo ungezaa kilichotokea cha kuleta maafa makubwa ya zamani hizi ambazo ndugu wameangamizana
Ukraine na urusi kwa maslahi ya wakubwa hao.
Miaka 60 ya muungano ni mingi sana tusingetegemea uwe na uchanga wa kiasi cha kuendelea kuonyeshana vidole, rudi kwenye mapendekezo ya katiba wape haki watu wanayoidai usiogope kwamba utajenga historia mbaya ya Muungano kufia mikononi mwako mtoto alilia wembe mpe si ajabu anataka kuchonga penseli yake. wakati mwingine the higher the risk the higher the return.
niongeze mapendekezo yafuatao;,
2024 uwe ni mwaka wa kureviw katiba pendekezwa,
2025 tuwe na kipindii cha mpito wa maandalizi na katiba hiyo,
2026 tufanye uchaguzi wa serikali za mitaa kidemograsia,
2027 tufanye uchaguzi mkuu, utakaohusisha katiba mpya.
kwa wakati wote huo uendelee kuwa Raisi wa mpito, ikikupendeza kuwaachia wengine sawa lakini kama utaona vema kuingia kwenye kinyanganyilo sawa tu, lakini mimi naamini unaweza kufanya kazi muda mfupi na legacy yako ikadumu zizazi na vizazi, mf.Thomas Sankala.
Mama wa taifa letu,
Nakuombea Afya njema .
Nakuombea hekima ya Mungu kama aliyojaaliwa mtumishi wake Suleiman
Nakuomgea uongozi mahili kama aliojaliwanao Mtumishi wa Mungu Mussa
Nakuombea uaminifu katika uongozi kama aliyojaaliwa Yusufu,
Mungu akujalie roho ya kumsikiliza kwa umakini maelekezo yake,
ukisha kuwa kiongozi wa watu una dhamana kubwa sana na ni mtihani mkubwa, kuluzukiwa ni jambo moja lakini kutendea haki nafasi uliyopewa ni jambo jingine. Musa kiongozi wa wana wa Israel hakufika Nchi ya ahadi, watu wake walimkosesha akaikosa ahadi, liangalie hilo kwa makini. muda tuliopewa wa kuishi duniani ni mchache sana lakini muda wa kuishi baadae hauna kikomo Mungu atatuulia kwa kadri ya yale aliyotuluzukia na vipawa alivyotupa. vyote tunavyohangaika navyo duniani sina shaka ni vya muda na baadae havina thamani.
 
Kwa mda mrefu Vodacom wamekuwa wakitoa huduma ya internet isiyo na kikomo kwa malipo ya baada (Postpaid) katika mfumo huu umekuwa rafiki sana kwa wafanyabiashara na hivyo kila mwezi wateja wanatumiwa invoice kulipa na wanaendelea kufurahia huduma, huku wakipewa kifaa bure.

Hivi karibuni imezinduliwa huduma ya malipo ya kabla (Prepaid) kwa Internet isiyokata ambapo mteja analipia huduma na kifaa kisha anaendelea kutumia huduma na halazimiki kulipa kila mwezi, bali analipia tu miezi ambayo anaona atatumia huduma kama tu ilivyo Huduma za TV au LUKU.

Huduma hii ya Malipo ya kabla ni Suluhisho zuri wa watumiaji binafsi na majumbani. Kwa Sasa Plan ya chini ni 30mbps inayouzwa 120,000 tu sawa na 4000 kwa mbps moja. Tutegemee mbeleni kuongeza wigo hadi kwenye maeneo ya 4G ambapo mteja anaweza kununua 20mbps au 10mbps.

5G ni nini?
5G ni kizazi cha tano katika teknolojia ya mitandao ya simu za mikononi yenye kasi mara ishirini zaidi ya 4G.

Faida za kutumia 5G

  • Internet ya 5G ni nzuri na ina kasi mara ishirini zaidi ya 4G
  • Ukitumia 5G intaneti haikatikati na ina ubora zaidi.
  • 5G ina uwezo wa kuunganisha vifaa vya simu vingi zaidi kupitia hotspot. Unaweza kuunganisha mpaka vifaa 200 kwa wakati mmoja
Tofauti gani ya spidi kati ya 3G, 4G na 5G?

  • 3G Spidi Kupakia Mbps 2.7 na kupakua Mbps 5 – Mbps 8.
  • 4G Spidi Kupakia mpaka Mbps 17 na kupakua ni kuanzia Mbps 25Mbps, inaweza kufika Mbps 100+
  • 5G Spidi Kupakia mpaka Mbps 40 na kupakua kuanzia Mbps 200 mpaka Mbps 400+

Jinsi ya Kujiunga na 5G nyumbani au Ofisini kwa malipo ya kabla

  • Hakiki kama eneo lako lina 5G (tupigie 0745015421)
  • Mhudumu atakujazia taarifa zako kupitia mfumo wa FWA (Fixed Wireless Access)
  • Utapokea On Time Password kutoka Vodacom utampa Mhudumu kukamilisha Oda yako
  • Utaingia kwenye account yako kubadili nywira kupitia FWA: Vodacom Tanzania
  • Kutokana na Speed uliyochagua nenda sehemu ya kulipia plan (Top up) hapo utaelekezwa namna ya kulipa kwenda kwenye account ya 5G na namba ya kumbukumbu ni namba ya akaunti yako , lipa kupitia mtandao wowote wa simu kadiri ya maelekezo
  • Mhudumu atakusajili simcard ambayo itatumika kwenye Router ya 5G, lain hiyo haitakuwa na uwezo wa kupata huduma nyingine kama kupiga na mpesa. Kama unasimcard tayari basi hakikisha kuwa ni ambayo hutaitumia tena kwa matumizi ya kawaida
  • Utaingia kwenye account yako kuanzisha huduma kwa kuweka namba ya simu baada ya kuchagua kifaa husika unachokiunganisha na kutuma taarifa (submit) hapo kiasi kilichokuwepo kwenye account kitaondoka na plan itaanza.
  • Utaanza kufurahi huduma baada ya mda mfupi
  • Mhudumu atakupa lipa namba ya kulipia Router au utamlipa Cash
  • Baada ya malipo utapata risiti ya Router

Router ya Nokia

fcdc554d-5f05-4199-8292-ca0439fafd09.jpg

  • Ina uwezo mkubwa wa kuunganisha vifaa vingi kwa mara moja (Vifaa 200)
  • Ina App nzuri ambayo inasaidia kucontrol kila kifaa kinachounganishwa (Unakipa jina, Unachagua mda wa kupata internet na unablock website ambazo hazitakiwi kuingia)
  • Bei yake ni 950,000

Router ya ZTE
7432429a-b11c-442b-bd0c-d6edba900954.jpg

Inaunganisha hadi vifaa 32 kwa Wireless na vifaa vingine 32 kupitia mfumo wa LAN.

Hii router imeonesha matokeo mazuri sana kwenye maeneo ambao unachangamoto. Uwezo wa kifaa inapandisha hadi 250mbps

Bei yake ya sasa ni 615,000

Unipromotech ni wakala wa kuuza 5G majumbani, faida ya ziada huhitaji kutoka ulipo huduma inakufwata Muda wa kazi siku zote (Jumatatu hadi Jumapili saa 7:00AM hadi 9:00PM)

Kufikiwa tuma Location yako kwenda WhatsApp 0745015421
Atu tupigie 0745015421, mitandao ya kijamii @unipromotech

Jifunze zaidi hapa

Back
Top Bottom