Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Wao mbona wanautukana umma wa watanzania kwa mienendo yao na namna wanavyo ongoza sie tupo kimya, wakitokea wakusema hili hapana rais amekosea mnasema anatukanwa!
 
ukizungumza habari tofauti na CCM na kiongozi wake mkuu comrade Dr Samia Suluhu Hassan, wanainchi wa maeneo hayo kwanza,
hawakuskilizi, hawaelewi, lakini pia wanaweza kususa na kuondoka mkutanoni ukabaki pekeyako...

wanadai hawajui kitu kingine zaidi ya CCM na kiongozi wake, na hawataki kujua kitu kingine kuhusu Uongozi wa nchi hii zaidi ya kutoka CCM pekee...

wanasema wanapopata huduma za afya, elimu, maji, ulinzi na usalama, ufugaji, kilimo, biashara, uvuvi, barabara nzuri wanaiona CCM na kwahivyo hawawezi kuthibutu kwenda kinyume chake, wala kukisaliti kwa namna yoyote ile..

Mahaba waliyonayo dhidi ya Chama na Serikali sikivu ya CCM, hayapimiki, ni ya kufa na kuzikana 🐒
 
Acha uongo wewe jamaa!Dunia ya leo yenye utandawazi ndiyo unaandika ujingaujinga hivyo?Unataka kumdanganya nani?
 
Vijana wa Rumumba kazi mnayo.
IMG-20240605-WA0060.jpg
 
Maeneo Mengi sana hata mimi nimeshuhudia wananchi wakiwa wakali sana kama Mbogo ukiwaambia habari tofauti na Rais Samia na CCM. Wanasema CCM ndio baba na ndio mama yao.
 
Hivi kweli maelezo yote hayo kwenye uzi wako umeshindwa kutaja hayo maeneo hata mawili tu? Kweli? Basi ndio hata moja?

Mmmh kweli tembea uone!
Ni maeneo mengi sana, hususani yale ambayo CCM hupata asilimia zaidi ya 98% ya kura zote za Rais, ubunge, udiwani na serikali za mitaa....

Hiyo asilimia 2%, hua ni kura zilizoharibika kwa bahati mbaya. Rejea matokeo ya chaguzi zilizopita kupitia tovuti ya tume huru ya uchaguzi 🐒
 
Back
Top Bottom