Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa wana uwezo mdogo sana wa kufikiri matusi ni kosa la jinai hao polisi mbona hawachukui hatua?!Kuuza Bandari,Misitu,KIA ndio kumtukana !.
Weka hayo matusi hapa wengine hatuyajuiBadala ya kujikita kumsaidia Rais wako, wewe unapambana kumtukana. Ili iweje sasa?
Fuatilia hatma ya wanaowatukana viongozi wao. Kuna jambo utajifunza
Katiba ya hovyo snUpo sawa
Acha uongo wewe jamaa!Dunia ya leo yenye utandawazi ndiyo unaandika ujingaujinga hivyo?Unataka kumdanganya nani?ukizungumza habari tofauti na CCM na kiongozi wake mkuu comrade Dr Samia Suluhu Hassan, wanainchi wa maeneo hayo kwanza,
hawakuskilizi, hawaelewi, lakini pia wanaweza kususa na kuondoka mkutanoni ukabaki pekeyako...
wanadai hawajui kitu kingine zaidi ya CCM na kiongozi wake, na hawataki kujua kitu kingine kuhusu Uongozi wa nchi hii zaidi ya kutoka CCM pekee...
wanasema wanapopata huduma za afya, elimu, maji, ulinzi na usalama, ufugaji, kilimo, biashara, uvuvi, barabara nzuri wanaiona CCM na kwahivyo hawawezi kuthibutu kwenda kinyume chake, wala kukisaliti kwa namna yoyote ile..
Mahaba waliyonayo dhidi ya Chama na Serikali sikivu ya CCM, hayapimiki, ni ya kufa na kuzikana 🐒
Trueukizungumza habari tofauti na CCM na kiongozi wake mkuu comrade Dr Samia Suluhu Hassan, wanainchi wa maeneo hayo kwanza...
haina haja kubeza uelewa na ufahamu wa wengine dhidi ya wa kwako, kuhusu jambo au masuala fulani fulani katika jamii 🐒Ujinga huo
Unataka kuchukua kijiti cha Mwashambwa?ukizungumza habari tofauti na CCM na kiongozi wake mkuu comrade Dr Samia Suluhu Hassan, wanainchi wa maeneo hayo kwanza,
hawakuskilizi, hawaelewi, lakini pia wanaweza kususa na kuondoka mkutanoni ukabaki pekeyako..
vijana wa mjini walogoma kurudi vijijini kwao baada ya kumaliza masomo wanabisha eti 🤣Maeneo Mengi sana hata mimi nimeshuhudia wananchi wakiwa wakali sana kama Mbogo ukiwaambia habari tofauti na Rais Samia na CCM. Wanasema CCM ndio baba na ndio mama yao.
Wanashindana ujingaujinga!Unataka kuchukua kijiti cha Mwashambwa?
Duh, Kazi mnayo, mapacha wawili katika ubora wenuMaeneo Mengi sana hata mimi nimeshuhudia wananchi wakiwa wakali sana kama Mbogo ukiwaambia habari tofauti na Rais Samia na CCM. Wanasema CCM ndio baba na ndio mama yao.
Ni maeneo mengi sana, hususani yale ambayo CCM hupata asilimia zaidi ya 98% ya kura zote za Rais, ubunge, udiwani na serikali za mitaa....Hivi kweli maelezo yote hayo kwenye uzi wako umeshindwa kutaja hayo maeneo hata mawili tu? Kweli? Basi ndio hata moja?
Mmmh kweli tembea uone!