Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo sgr isijengwe!?..ukiwa na mentality ya kupinga tu kuna aina ya uchizi itakukumbaHizo Ajira za wanazotoa wenye Mabasi ninyi mtawapeleka kuzamia Pweza Kizimkazi?!
Nimepinga wapi?! Punguza mihemuko.Kwa hiyo sgr isijengwe!?..ukiwa na mentality ya kupinga tu kuna aina ya uchizi itakukumba
BBT, Bashe anatafuta watu wa kwenda mashamba hawatoshi.Hizo Ajira za wanazotoa wenye Mabasi ninyi mtawapeleka kuzamia Pweza Kizimkazi?!
Huko BBT mlikoyajaza Machawa ya Chama?!BBT, Bashe anatafuta watu wa kwenda mashamba hawatoshi.
Kajiendikishe kwa mtendaji wako kijana, huulizwi kadi ya chama.Huko BBT mlikoyajaza Machawa ya Chama?!
Tena amefanya adabu, hawawachii kwenye viti mpaka vituo vyao vya kuchimba dawa.Kwa hiyo mbuzi wanabubujikwa na machozi kabisa?
Unaumwa? Sijakuzoea hiviItakuwa hilo gari ni maalumu kwa ajili ya Mbuzi tu😃😃😃
Mbuzi wanakwenda mjini kutalii.Kwa hiyo mbuzi wanabubujikwa na machozi kabisa?