Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Na jamaa zangu nshomile, hawataki gari zao zibamizwe na Wayemeni kwa meli. Wameamuwa juzipakia kwenye Air Tanzania.

Hongera mama Samia, unatisha:

 
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu
kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa
kiasili
 
Hizo Ajira za wanazotoa wenye Mabasi ninyi mtawapeleka kuzamia Pweza Kizimkazi?!
BBT, Bashe anatafuta watu wa kwenda mashamba hawatoshi.

Watu wanataka kukaa mijini tu. Kazi kibao za mashamba ya kilimo, ufugaji na uvuvi.

Havitoshi mama alivyofunguwa masoko.

Cheza na mama wewe?
 
Back
Top Bottom